Bumbuli Development Corporation announces new board of directors

kwahili tuache siasa. Jm umekuwa mbunifr na bumbuli kweli itafaidika na hasa ukichanganya na ubunge wako hapa mambo yatakuwa mazuri. wabunge wengine wajifunze hili by cdm member

bumbuli itafaidika vip?....
Akishindwa ubunge itakuwaje? Au ndio hiyo bumbuli project nayo itakufaa???...
Nakubali kuwa hilo wazo ni zuri na litasaidia wananchi if and only if wazo lingekuwa limezaliwa/limezalishwa na wanachi wenyewe na mbunge akajiunga nao ili kutoa support na ku-nurture ideas za wananchi kuwa reality...

turning peoples dreams to realities and not your dream to peoples realities.
 
Binafsi ningeshauri hivi: Wazawa wawe 4. 2wanawake na 2wanaume.Tena wenye Elimu ya juu & cv nzuri.Wapo na binafsi naonana nao KIJIJINI BUMBULI kila mwaka.Cpingani na idea of the project,bt u need MAZAWA kwenye FINAL decision making.
ZUMBE ATOGOLWE.
 
Jamaa anaakili sana ndomana wengi hawamuelewi. Kawa weka hao watu akivizia pesa za wafadhili ili afanikishe project yake sidhan kama mfadhil akiiona board of directors hii atakataa kutoa hela zake


...Kwa hiyo Suala kuu ni Fedha za Wafadhili na Sio Kujitegemea? Na Zikiishapatikana Zitamfikia Yule Msambaa wa chini kabisa mwenye Jimbo lake ama Zitaishia tu Kwa Posho za Hiyo Line-up ya Kutisha ya Wajumbe???
 
bumbuli itafaidika vip?....
Akishindwa ubunge itakuwaje? Au ndio hiyo bumbuli project nayo itakufaa???...
Nakubali kuwa hilo wazo ni zuri na litasaidia wananchi if and only if wazo lingekuwa limezaliwa/limezalishwa na wanachi wenyewe na mbunge akajiunga nao ili kutoa support na ku-nurture ideas za wananchi kuwa reality...

turning peoples dreams to realities and not your dream to peoples realities.
Si lazima kutakauwa na Bumbuli Development Plan walau ya miaka 3 ambayo inatekelezwa na wananchi wa Bumbuli na hii Bumbuli Development Co. inasaidia kuchangisha fedha na wataalam kwaajili ya utekelezaji wa plan hiyo? Sitaki kupata hata hisia kuwa eti hii co haina plan NO. Bumbuli watafaidika na utekelezwaji wa plan ambayo inasaidiwa na hii Co kama nilivyoeleza hapo juu. Na last AND least ni kuwa hii Co itasaidia kuvutia wawekezaji kwenda Bumbuli binafsi siamini kama wawekezaji wanaleta maendeleo najua wimbo maarufu ambao sishiriki kuimba ila wanasiasa kama January lazima watakuimbia wimbo huu.
 
Big up Makamba JR. Waseme tu lakini bora BDC iwepo kuliko isingekuwepo kabisa. Zahanati na dawa, madarasa, madawati, libraries na walimu ni vipaumbele maji barabara na huduma muhimu lazima tu hapo patakuwa mfano wa kuigwa, against all odds.
 
Is this a Bumbuli thing or just a joke to people of Bumbuli? It looks like an international club of wise men and women. I don't see any tangible results out of that time. I believe most of the board members have their own villages and problems to deal with! Let's wait and see!
Good call.
 
Nyie mtapoteza pumzi zenu bure tu....hiyo ni style ya kuzikokotoa hela toka huko Wall Street.
 
makamba jembe! nilisema na nitaendelea kusema.. makamba huwa anafanya.. hapigi domo..

Well done Mr Makamba for this initiative. However, it remains to be seen whether these brilliant minds will be able to deliver to the common wananchi in Bumbuli.
I'm very impressed for a fact that all board members have impeccable credetials, and no one can question what they have achieved in their long stellar careers.
I know some of us may be skeptical due to the fact that no matter how brilliant or intelligent most Africans are, they are very vulnerable to corruption or bribery. Notable examples: Andrew Chenge, Daudi Balali and Ben Mkapa are Ivy League educated guys. Chenge went to Havard. Balali went to Havard and John Hopkins. Mkapa went to Columbia.
Kigoda went to Vanderbilty..........but look at what they have done for this nation.........looting our beloved Tanzania to the fullest.
I'm not trying to discourage Mr Makamba in anyway. I think he deserves credits for this initiative, but all I can say is, he must make certain that this project is fully commited and aimed at helping the Bumbuli wananchis towards upward mobility, eradicating poverty, invest in education, health and other social issues. This organ must not be used as a fundrising vehicle for personal financial gains, but rather as a tool aiming at helping the Bumbuli wananchi.
Thanks
 
makamba jembe! nilisema na nitaendelea kusema.. makamba huwa anafanya.. hapigi domo..

How do you explain this?

578346_476337049067171_1882941478_n.jpg
 
Watu wanajua kuzichanga karata ati!!na walitegemea dogo angekuwa waziri wa nishati na madini apige mambo yake haraka sana,mambo yaka leak mapema sana hadi JK akaona aibu kumpa January nafasi yeyote hadi upepo ulipotulia!!
 
Japo mimi c MP lkn I wish niige mfano huu hata kama si lazima niwe na Professors lkn niwe na watu wenye vions za maendeleo kwa vijana wetu, Mungu nisaidie nifikie mfano huu kwa faida ya wengi siku zijazo.
 
I have no problem with their CVS', very comprehensive but I am a bit doubtful with their commitment to BDC, All those guys are international figures there is no way BDC could be their priority. January Bumbuli Development does need need the International figures with PHD's it only needs wisdom and commitment which I am sure you only needed some reputable figures on the ground to help you in implementation - PM me I will show you the HOW and not the WHO.

Hii lugha inashida sana.
 
Does this guy has any sense of local ownership? hii structure siioni kama ipo friendly kwa mwananchi wa kawaida wa wa Bumbuli, naweza nikaandika project ya aina hii in the name of sustaining Bumbuli, while the hidden targets are different.
Hii kitu kwa namna ilivyokuwa structured haina hisia za dhati kwa wana Bumbuli, sijaona ushirikishwaji wa walengwa hapo.
 
Wazo zuri,ila 2naomba kuwepo na ufanisi.Sio Project jina 2.....tunataka maendeleo katika Jimbo letu.Pia msisahau kuboresha huduma za matibabu kwani watu wanatibiwa kama kuku,unafika hospitali unapewa dawa bila kupimwa?Kituo cha Afya Tamota kiongezewe wataalamu wenye sifa na vifaa bora vya kupimia ili kuondoa usumbufu nakuwapunguzia watu gharama ya kwenda Bumbuli Hospital.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom