Kumbakumba
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 222
- 18
nakupongeza
Najimu naye ni DR, mmmmh hapana!!!!!!!!!!! ila nawatakia kazi njema katika kujitafutia ulaji.
.......
Jamaa anaakili sana ndomana wengi hawamuelewi. Kawa weka hao watu akivizia pesa za wafadhili ili afanikishe project yake sidhan kama mfadhil akiiona board of directors hii atakataa kutoa hela zake
tayari kwenye ili group kuna mzawa wa bumbuli dk. Najim.....na jukumu kubwa la hawa board member ni kushauri na kutafta wawekezaji na sponsors ili mirad ya maendeleo bumbuli iweze kutekelezeka bila kutegemea serikali e.g ya maji,umeme,barabara etc..so kama ni mzawa anayejua mazngra halisi ya bumbuli yupo
jaman nawashangaa sana watu wanaoponda kila kitu huku jf ndio maana wakat mwngne vyama vya upnzan vinaonekana hamnazo...hivi ktk nchi hii ni mbunge gan kijana aliyewahi kujarbu au kuja na idea nzur kama hii...cha kwanza ili ni wazo si lazma lifanikiwe kwa asilimia 100% kwan january akfkia 50% ya lengo mbunge mwngne akaendeleza alpoishia itakuwaje?tuwe crtcal thnker tusponde kila ktu ili tuonekane sjui ndio wanamapnduzi fek....congrts january mm kama kijana ulichofanya kmenifuraisha na nataka kujarbu kama yeye...viva january mnaoponda hamjui mnachofanya mwenzako akijarbu mkubali..conrts jm