Bumbuli Development Corporation announces new board of directors

Ebwana halafu umenikumbusha. Kwenye siku ya mazingira kauli mbiu yetu ilikua swala la mkaa. Kwamba uchommaji unapelekea kuharibiwa vibaya misitu yetu..Ni sawa.

Lakini kauli mbiu worldwide ilikuwa "Beat Plastic Polution-If you can reuse it refuse it..

Sikuona hili swala likipewa kipaumbele kwenye maazimisho ya Siku ya Mazingira hapa kwetu. Ni Kwamba Waziri Amepotezea swala la mifuko ya plastiki kiaina eeh!
 
Mkifanya uchaguzi msimsahau mzee William Shellukindo kwani yuko Bumbuli
 
Ebwana halafu umenikumbusha. Kwenye siku ya mazingira kauli mbiu yetu ilikua swala la mkaa. Kwamba uchommaji unapelekea kuharibiwa vibaya misitu yetu..Ni sawa.

Lakini kauli mbiu worldwide ilikuwa "Beat Plastic Polution-If you can reuse it refuse it..

Sikuona hili swala likipewa kipaumbele kwenye maazimisho ya Siku ya Mazingira hapa kwetu. Ni Kwamba Waziri Amepotezea swala la mifuko ya plastiki kiaina eeh!
Tatizo linaweza likawa ni mlungula anaopewa na waagizaji wamifuko ya plastiki toka Kenya, China na Dubai, 99% ya mifuko ya plastiki inayotumika nchini inaagizwa toka nje ya nchi ikiwa finished products!
 
makamba jembe! nilisema na nitaendelea kusema.. makamba huwa anafanya.. hapigi domo..
Ni mwaka wa ngapi huu anapiga domo kuhusu kupiga marufuku uingizaji na uzalishaji wa mifuko ya plastiki na hakuna utekelezaji? Empty set
 
Maundumula nakuunga mkono hata diwani mmoja wameshindwa kumuweka?makamba umechemka wengi hao wako bize sana kiasi ungemweka hata mwenyekiti wa halmashauri ingesaidia kwani angekuwa link kubwa coz anayajua matatizo ya wanabumbuli kuliko hao wasomi

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Madiwani wenyewe wa darasa la saba!! Wakiingia kwenye ivo vikao watakuwa wanaona mawenge tu!
 
Jamaa anaakili sana ndomana wengi hawamuelewi. Kawa weka hao watu akivizia pesa za wafadhili ili afanikishe project yake sidhan kama mfadhil akiiona board of directors hii atakataa kutoa hela zake
Atleast wewe umeona mbali
 
Kama mwanabumburi am stil waiting for it to materialize anything because kwa tathmin yangu you stil have alot to do in our constituency as the mass is in an indepth ignorance which makes them even ignore the role of education leave at all the others policies unazozileta
Hilo la ujinga ndyo changamoto kuu ya wanabumbuli na hili sio tatizo la bumbuli peke yake ni lushoto yote
 
Back
Top Bottom