Bulembo: Hazina haina fedha za kutosha

Bulembo: Hazina haina fedha za kutosha

Mkwere amekomba pesa zote duh ccm ina wenyewe.
 
Tatizo la kuishia darasa la saba halafu unataka kushindanisha akili zako na masters degree holder ndio hili.

Wewe wa darasa la saba unaposoma andiko la mtu uwe unatukia hizo akili zako za STD VII zitakusaidia kidogo...hapo kwenye andiko langu ni nani ambae nimemshangaa? Nimemshangaa huyo Bulembo amejuaje mambo ya Hazina!?

Inawezekana kweli hujui unaandika nini? Au domokaya!

Hata mimi nimeona ukimlaumu mtoa mada na kuanza kubwabwaja. Hebu kasome utumbo wako, acha kujifanya juha
 
Tatizo la kuishia darasa la saba halafu unataka kushindanisha akili zako na masters degree holder ndio hili.

Wewe wa darasa la saba unaposoma andiko la mtu uwe unatukia hizo akili zako za STD VII zitakusaidia kidogo...hapo kwenye andiko langu ni nani ambae nimemshangaa? Nimemshangaa huyo Bulembo amejuaje mambo ya Hazina!?

Kumbe una Masters degree na bado unaandika andiko ambalo mtu wa kawaida (std vii) kashindwa kulielewa! Inabidi uwe na mashaka na hiyo elimu yako. Ukiandika jitahidi usitangulize kutulazimisha tuione elimu yako ya msters level kwenye andiko. Tuache tukuhukumu wasomaji
 
Tatizo la kuishia darasa la saba halafu unataka kushindanisha akili zako na masters degree holder ndio hili.

Wewe wa darasa la saba unaposoma andiko la mtu uwe unatukia hizo akili zako za STD VII zitakusaidia kidogo...hapo kwenye andiko langu ni nani ambae nimemshangaa? Nimemshangaa huyo Bulembo amejuaje mambo ya Hazina!?

mjinga Master nayo ni elimu ya kujisifia.
 
Hivi yeye anaongea kama nani katika serikali?yeye si mtumishi wa umma.yeye ni mtumishi wa chama.

Unajifanya hujui ccm ni chama dola, serikali=ccm na ccm=serikali
 
Tatizo la kuishia darasa la saba halafu unataka kushindanisha akili zako na masters degree holder ndio hili.

Wewe wa darasa la saba unaposoma andiko la mtu uwe unatukia hizo akili zako za STD VII zitakusaidia kidogo...hapo kwenye andiko langu ni nani ambae nimemshangaa? Nimemshangaa huyo Bulembo amejuaje mambo ya Hazina!?

Masters degree holder??????

Haya bana, lakini hata Bulembo STD hilo hilo ila akapewa mikoba ya kuongoza kampeni.

Ingawa na mimi ni STD hilo hilo lakini wewe kwa arguments zako hata haufanii...
 
Huyu nyoko anayeitwa Bulembo ni nani katika nchi hii mpaka ajue kwamba hazina haina hela? Mazee mengine mbona nyoko sana? Ina maana Magufuli amemteua kuwa msemaji wa serikali?
 
Tatizo la kuishia darasa la saba halafu unataka kushindanisha akili zako na masters degree holder ndio hili.

Wewe wa darasa la saba unaposoma andiko la mtu uwe unatukia hizo akili zako za STD VII zitakusaidia kidogo...hapo kwenye andiko langu ni nani ambae nimemshangaa? Nimemshangaa huyo Bulembo amejuaje mambo ya Hazina!?
Pitia andiko lako tena vizuri,inst inead of calling people nasty names .
Ngoja nikusaidie pitia para ya kwanza na ya pili, utagundua madudu yako.
Naona unakufa na msechu tu.
 
sisi huku mtaani tunajua hazina hakuna kitu kumefilisika ndio maana serikali inabana matumizi.?
 
Back
Top Bottom