Bulembo: Hazina haina fedha za kutosha

Bulembo: Hazina haina fedha za kutosha

Sasa kama serikali inakusanya na kutumia zote ina tofauti gani na kibarua anayelipwa kwa siku na siku akiumwa maana yake hakuna kula !.

Kinachoongelewa ni akiba na hata hizo zinazokusanywa kwa siku hazitoshi kwa matumizi yote ya msingi ya serikali. Ndio maana wanalipa mishahara na kudeal na issue jinsi zinavyoibuka na kuwa hot. Na ndio maana walishindwa kumlipa mkandarasi billion 7 ya kukarabati vifaa vya Muhimbili kwa muda mrefu mpaka akagoma. Na hata walipoamua kumlipa walimpoza kwa billion tatu tu ! Vile vile serikali kwa muda imekuwa ikikopa sana sababu matumizi yake yamekuwa makubwa kuliko mapato yake na nadhani hiyo ni moja ya sababu ya hizi measures za Magufuli.....Na kwa hali iliyonayo serikali itachukua muda kustabilize....

Ukiacha hayo madeni ya nje serikali imeshindwa kuwalipa makandarasi wa ndani kwa muda mrefu sababu hizo hizo za ukata. Mimi mwenyewe naidai hii serkali zaidi ya 50M na tangu mwezi May wananipiga sound tu....

Bulembo amejuaje mambo ya Hazina!?.Wewe mtoa hii mada unajua utaratibu wa Hazina kuwa na pesa?

Ngoja tusaidiane hapa kuondoa ujinga:

Kwa ufupi mmoja wa anayejua kuhusu pesa za Hazina na mwenye mamlaka ya kuzisemea ni kamishna wa bajeti wa wizara ya fedha.

Hazina ni wasimamizi wa mfuko mkuu wa serikali na akaunti yao ipo banki kuu. Banki kuu kila siku inapokea pesa kutoka TRA...maana wote tunajua kuwa TRA inafanya makusanyo ya kila siku.

Kutoka TRA pesa zinaingizwa Banki kuu kila siku. Na zikifikishwa Banki kuu, kila siku zinatoka kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya serikali. Utaratibu wa miaka yote huu.

Je, hoja kuwa Hazina ina pesa pungufu au kidogo imetoka wapi!? Je makusanyo yamepungua huko TRA? Au mlidhani pesa za serikali uwa zinatunzwa tu!?

Hoja za kujiuliza:

Kama Hazina haina kitu...mishahara ya mwezi huu tumelipwaje?

Kama Hazina haina kitu...bodi ya mikopo imepata wapi pesa ya kulipa wanafunzi wa elimu ya juu wa kuanzia mwaka wa 1 hadi wa 5 kwa vyuo vyote nchini?

Kama Hazina haina pesa...shughuli za serikazi zinajiendeshaje?

Ukijiuliza hayo maswali...utapata picha kuwa pesa zipo na zinaendelea kukusanywa kila siku, ila serikali ya awamu ya 5 imeamua kubana matumizi na kuongeza makusanyo zaidi ili ahadi za rais Dkt Magufuli zitekelezwe kwa wakatiikiwemo ya elimu BURE...tayari mashule yamepigwa MARUFUKU kukusanya michango ya aina yoyote kutoka kwa wanafunzi.

#HapaKaziTu
 
wewe ni mpumbavu tu na ngojera zako,onyesha nilipomtumia Bulembo kama rejea.usinilinganishe na wewe mpiga debe humu.mimi hata nikihitaji current financial report ya hazina napata

Badala ya kutuletea ushangingi wako humu mithili ya Khadija Kopa...weka hapa taarifa rasmi za fedha za Hazina hapa vinginevyo wewe ni psychopath tu.
 
Haya maswali ya kijinga na utetezi wako wwenye kima cha upumbavu waulize watoto wako na mke wako ndiyo ambao akili zao zinaishia hapa.

Pumbavu.

Teh...teh...mkuu huyu Ni mwsnamke
 
Leo hoja za Bulembo zinatetewa na vijana wa bavicha!

Tanzania kuna vituko vya fikra na mtazamo!

By the way, hizi kelele zote ni lini hazina ilikuwa na pesa?
 
hizi ni fitina za bavicha,hawana kazi sasa wamehamia jf kuanzisha thread za kuchonganisha watu
 
Hizo hoja sio za Bulembo....Bulembo amesema kitu ambacho tumekuwa tukikisema....

Kwa mtu yeyote anayefanya business na seikali anajua serikali kwa sasa ina hali mbaya kifedha, na hiyo hali mbaya haijaanza leo ni ya muda...

Leo hoja za Bulembo zinatetewa na vijana wa bavicha!

Tanzania kuna vituko vya fikra na mtazamo!
 
Sasa kama serikali inakusanya na kutumia zote ina tofauti gani na kibarua anayelipwa kwa siku na siku akiumwa maana yake hakuna kula !.

Kinachoongelewa ni akiba na hata hizo zinazokusanywa kwa siku hazitoshi kwa matumizi yote ya msingi ya serikali. Ndio maana wanalipa mishahara na kudeal na issue jinsi zinavyoibuka na kuwa hot. Na ndio maana walishindwa kumlipa mkandarasi billion 7 ya kukarabati vifaa vya Muhimbili kwa muda mrefu mpaka akagoma. Na hata walipoamua kumlipa walimpoza kwa billion tatu tu ! Vile vile serikali kwa muda imekuwa ikikopa sana sababu matumizi yake yamekuwa makubwa kuliko mapato yako na nadhani hiyo ni moja ya sababu ya hizi measures za Magufuli.....Na kwa hili iliyonayo serikali itachukua muda kustabilize....

Ukiacha hayo madeni ya nje serikali imeshindwa kuwalipa makandarasi wa ndani kwa muda mrefu sababu hizo hizo za ukata. Mimi mwenyewe naidai hii serkali zaidi ya 50M na tangu mwezi May wananipiga sound tu....

Umeandika pumba nyingi sana huku point zikiwa chache mno.

Kwa ufupi, serikalini hata siku moja haijawahi kutokea kukawa na surprus budget...tangu enzi za mwalimu. Bajeti ya serikali siku zote ufika kikomo kukiwa bado kuna uhitaji.

Ambacho mara nyingine kinapelekea tuwe na madeni mfano hilo la kandarasi wa hizo mashine...ni kukosa tu vipaumbele...hivi unadhani Muhimbili haina miradi!? Serikali inatoa ruzuku kwenda Muhimbili sawa lakini ile hospitali ina miradi yake mingi tu...ilipaswa igharamie utengenezaji wa vifaa tiba...badala yake kwa kuwa sio kipaumbele chao wao pesa nyingi wanatumia kufanya ziara nje ya nchi na kulipana posho.

Anaesema hii nchi haina hela ni mtu ambae hajawahi kufanya kazi serikalini tu. Hakuna sehemu ambayo watumishi wanasafiri nje ya nchi kama kwenye sekta ya umma...sasa jiulize...tuna watumishi wangapi na kila mtu anataka kwenda nje...ni kiasi gani serikali ilipoteza kugharamia hizo safari? Haya ndio maswali ya msingi ya kujiuliza. Ukiona rais Dkt Magufuli amechukizwa na hili suala la kwenda nje...umuelewe.

Na kwa taarifa tu ni kwamba...hadi leo hii pesa za watu kwenda nje zilikuwepo...ishu ni kuidhinishwa tu kwa mapesa hayo...watu kibao tu walitaka watumie pesa za umma kwenda kula x mas na mwaka mpya nje ya nchi. Kwa pesa za walipa kodi. Huu uamuzi wa Dkt Magufuli ni wa kishujaa sana. Unaambiwa ameokoa kiasi cha Bilion 97 ambazo tayari zilikuwa zimetengwa kwa ajili ya safari za nje za watumishi wa serikali...hizo ni pesa za mlipa kodi.
 
Bulembo ameyasema hayo akiwa kama nani?
 
Unamlaumu mtoa mada badala ya Bulembo aliyetoa taarifa kuwa hazina haina pesa za kutosha kuendeshea serikali hadi ikatolewa kwenye gazeti Mtanzania?
Tafuta hilo gazeti usome halafu ubishane na Bulembo.

Acha kujotoa ufahamu wewe?

lakini si unaona sunzu hajaweka source hata link,sasa unategemea sisi tuote kuwa haya maneno kweli kasema bulembo?
 
Nenda kapumuliwe kisogoni huko...mtu wa kijiweni unajua nini!?

Ila dada yangu toka Magufuli ameingia madarakani umetibuka kwelikweli. Mitusi haikukauki kinywani, au shemeji kishafanya yake kitu bado kichanga tumboni.
 
Mi nakubaliana na Abdalah Bulembo anakiri kwamba , ccm wamekula hadi Hazina ili kuinusuru isianguke uchaguzi maana Budget ya chama ilifanyiwa na wajanja hivyo haikutosha kupigia campaign .
Hakuna haja ya kum pingamizi Abdullah wao ndo wako chumbani ccm
 
Mimi sio kwamba simuelewi Magufuli na ndio maana nikasema sababu moja wapo inayomfanya achukue hizi hatua ni ukata wa serikali...na ndio maana hata hatua nyingine alizochukua (kwa mfano ya safsri za nje) kasema mpaka itakapotangazwa vinginevyo baadaye that means sio permanent....

Udhaifu wa serikali iliyopita ndio uliosababisha ufujaji huu na matokeo yake serikali inadaiwa hela nyingi na watu wa kawaida (wananchi wake nikiwemo mimi) na haina uwezo wa kulipa kwa wakati....Hii ni mbaya kwa image ya serikali nahata kwa uchumi kwa sababu unapokwamisha malipo kwa wananchi wako kwa muda mrefu unaathiri uchumi wa nchi.

Serikali yenye discipline ya matumizi na inayokusanya mapato vizuri na kama uchumi wa nchi ni mzuri inapaswa iwe na akiba....Kama unakumbuka wakati Kikwete anaingia madarakani 2005 alisema yeye mwenyewe kwamba hali yetu ya fedha ni nzuri kwani serikali iliyopita imetuachia akiba ya kutosha ya fedha. Je Magufuli anaweza kusema hayo maneno kuhusu serikali ya Kikwete ?

Magufuli akiendelea hivi naamini serikali itakahofuata baada ya Magufuli itaweza kabisa kusema maneno hayo kwani ninaamini akiba itakuwepo...

Umeandika pumba nyingi sana huku point zikiwa chache mno.

Kwa ufupi, serikalini hata siku moja haijawahi kutokea kukawa na surprus budget...tangu enzi za mwalimu. Bajeti ya serikali siku zote ufika kikomo kukiwa bado kuna uhitaji.

Ambacho mara nyingine kinapelekea tuwe na madeni mfano hilo la kandarasi wa hizo mashine...ni kukosa tu vipaumbele...hivi unadhani Muhimbili haina miradi!? Serikali inatoa ruzuku kwenda Muhimbili sawa lakini ile hospitali ina miradi yake mingi tu...ilipaswa igharamie utengenezaji wa vifaa tiba...badala yake kwa kuwa sio kipaumbele chao wao pesa nyingi wanatumia kufanya ziara nje ya nchi na kulipana posho.

Anaesema hii nchi haina hela ni mtu ambae hajawahi kufanya kazi serikalini tu. Hakuna sehemu ambayo watumishi wanasafiri nje ya nchi kama kwenye sekta ya umma...sasa jiulize...tuna watumishi wangapi na kila mtu anataka kwenda nje...ni kiasi gani serikali ilipoteza kugharamia hizo safari? Haya ndio maswali ya msingi ya kujiuliza. Ukiona rais Dkt Magufuli amechukizwa na hili suala la kwenda nje...umuelewe.
 
Kumuuliza mtu anajua utaratibu ndio lawama?

Darasa la saba at it best level..😅😅😅😂😂😂

Darasa la Saba ni elimu kwa majority hapa Tanzania, na siyo kosa la 'msomi' wa elimu hiyo peke yake. Serikali yetu imechangia pia!! Na ukitumia darasa la saba Kama 'tusi' utatukana wengi, Kama wazazi wako, wajomba, shangazi, nk.
Pili: jikite kwenye hoja kistaarabu, mjibu mtu katika hali ya kuelimisha, tumia Masters na PHD zako kujenga wengine, na siyo kuwaponda!! #nimetumiadarasala7kushauritu!
 
Mkapa alipostaafu, tuliambiwa ameacha fedha nyingi. Ndani ya miezi 6 tukaambiwa serikali ya JK imekomba kila kitu.

JK kuiacha hadhina nyeupe sio ajabu. Magufuli katuambia sababu mojawapo ya matumizi ya fedha za umma ilikuwa safari lukuki za nje.

Nadhani Bulembo yuko sahihi. Na kuahirishwa kwa sherehe za kitaifa kumechagizwa na mambo mengi ikiwemo hazina kuishiwa.
 
Bulembo amejuaje mambo ya Hazina!?.Wewe mtoa hii mada unajua utaratibu wa Hazina kuwa na pesa?

Ngoja tusaidiane hapa kuondoa ujinga:

Kwa ufupi mmoja wa anayejua kuhusu pesa za Hazina na mwenye mamlaka ya kuzisemea ni kamishna wa bajeti wa wizara ya fedha.

Hazina ni wasimamizi wa mfuko mkuu wa serikali na akaunti yao ipo banki kuu. Banki kuu kila siku inapokea pesa kutoka TRA...maana wote tunajua kuwa TRA inafanya makusanyo ya kila siku.

Kutoka TRA pesa zinaingizwa Banki kuu kila siku. Na zikifikishwa Banki kuu, kila siku zinatoka kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya serikali. Utaratibu wa miaka yote huu.

Je, hoja kuwa Hazina ina pesa pungufu au kidogo imetoka wapi!? Je makusanyo yamepungua huko TRA? Au mlidhani pesa za serikali uwa zinatunzwa tu!?

Hoja za kujiuliza:

Kama Hazina haina kitu...mishahara ya mwezi huu tumelipwaje?

Kama Hazina haina kitu...bodi ya mikopo imepata wapi pesa ya kulipa wanafunzi wa elimu ya juu wa kuanzia mwaka wa 1 hadi wa 5 kwa vyuo vyote nchini?

Kama Hazina haina pesa...shughuli za serikazi zinajiendeshaje?

Ukijiuliza hayo maswali...utapata picha kuwa pesa zipo na zinaendelea kukusanywa kila siku, ila serikali ya awamu ya 5 imeamua kubana matumizi na kuongeza makusanyo zaidi ili ahadi za rais Dkt Magufuli zitekelezwe kwa wakatiikiwemo ya elimu BURE...tayari mashule yamepigwa MARUFUKU kukusanya michango ya aina yoyote kutoka kwa wanafunzi.

#HapaKaziTu
HAMY-D hatukuelewi hapa unamjibu mwanzisha thread? Bulembo? au Gazeti lililonukuliwa?
 
Last edited by a moderator:
Badala ya kutuletea ushangingi wako humu mithili ya Khadija Kopa...weka hapa taarifa rasmi za fedha za Hazina hapa vinginevyo wewe ni psychopath tu.

Umesahau kuwa huyo Hadija Kopa amewawezesha CCM kufika walipofika kwa ajili ya nyimbo anazoimba za mipasho, usimtukane mkunga ..., utamuhitaji come 2010
 
Bulembo amejuaje mambo ya Hazina!?.Wewe mtoa hii mada unajua utaratibu wa Hazina kuwa na pesa?

Ngoja tusaidiane hapa kuondoa ujinga:

Kwa ufupi mmoja wa anayejua kuhusu pesa za Hazina na mwenye mamlaka ya kuzisemea ni kamishna wa bajeti wa wizara ya fedha.

Hazina ni wasimamizi wa mfuko mkuu wa serikali na akaunti yao ipo banki kuu. Banki kuu kila siku inapokea pesa kutoka TRA...maana wote tunajua kuwa TRA inafanya makusanyo ya kila siku.

Kutoka TRA pesa zinaingizwa Banki kuu kila siku. Na zikifikishwa Banki kuu, kila siku zinatoka kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya serikali. Utaratibu wa miaka yote huu.

Je, hoja kuwa Hazina ina pesa pungufu au kidogo imetoka wapi!? Je makusanyo yamepungua huko TRA? Au mlidhani pesa za serikali uwa zinatunzwa tu!?

Hoja za kujiuliza:

Kama Hazina haina kitu...mishahara ya mwezi huu tumelipwaje?

Kama Hazina haina kitu...bodi ya mikopo imepata wapi pesa ya kulipa wanafunzi wa elimu ya juu wa kuanzia mwaka wa 1 hadi wa 5 kwa vyuo vyote nchini?

Kama Hazina haina pesa...shughuli za serikazi zinajiendeshaje?

Ukijiuliza hayo maswali...utapata picha kuwa pesa zipo na zinaendelea kukusanywa kila siku, ila serikali ya awamu ya 5 imeamua kubana matumizi na kuongeza makusanyo zaidi ili ahadi za rais Dkt Magufuli zitekelezwe kwa wakatiikiwemo ya elimu BURE...tayari mashule yamepigwa MARUFUKU kukusanya michango ya aina yoyote kutoka kwa wanafunzi.

#HapaKaziTu
Kuandika Liwaya sio kujibu hoja.... nenda kaulize Tanroads kwa nini hawajatangaza kazi mpaka leo wakati bajeti yao ilipitishwa na bunge.... walitakiwa watangaze kazi kuanzia mwezi wa 5 mpaka 8..... acha kutetea kila kitu mburula wewe..... mifuko ya jamii iko katika hali gani..... wakati JK anaingia alikuta deni la taifa likiwa chini ya 10tr lakini kaondoka liko kwenye 48tr na 7tr kazikopa mwaka wake wa mwisho.....
 
JK kakaushaaaaa hazina... na alaaniwe...!!!

Pia Bulembo sio msemaji wa serikali, ingawa ni vizuri kafichua siri... KUWA TREASURY iko ICU...

Laana unayo wewe ambae hata ukisoma huelewi. Soma post ya juu yako hapo ujibu hayo maswali wacha kiherehere dada.
 
Back
Top Bottom