Bulembo: Hazina haina fedha za kutosha

Bulembo: Hazina haina fedha za kutosha

Bulembo amejuaje mambo ya Hazina!?.Wewe mtoa hii mada unajua utaratibu wa Hazina kuwa na pesa?

Ngoja tusaidiane hapa kuondoa ujinga:

Kwa ufupi mmoja wa anayejua kuhusu pesa za Hazina na mwenye mamlaka ya kuzisemea ni kamishna wa bajeti wa wizara ya fedha.

Hazina ni wasimamizi wa mfuko mkuu wa serikali na akaunti yao ipo banki kuu. Banki kuu kila siku inapokea pesa kutoka TRA...maana wote tunajua kuwa TRA inafanya makusanyo ya kila siku.

Kutoka TRA pesa zinaingizwa Banki kuu kila siku. Na zikifikishwa Banki kuu, kila siku zinatoka kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya serikali. Utaratibu wa miaka yote huu.

Je, hoja kuwa Hazina ina pesa pungufu au kidogo imetoka wapi!? Je makusanyo yamepungua huko TRA? Au mlidhani pesa za serikali uwa zinatunzwa tu!?

Hoja za kujiuliza:

Kama Hazina haina kitu...mishahara ya mwezi huu tumelipwaje?

Kama Hazina haina kitu...bodi ya mikopo imepata wapi pesa ya kulipa wanafunzi wa elimu ya juu wa kuanzia mwaka wa 1 hadi wa 5 kwa vyuo vyote nchini?

Kama Hazina haina pesa...shughuli za serikazi zinajiendeshaje?

Ukijiuliza hayo maswali...utapata picha kuwa pesa zipo na zinaendelea kukusanywa kila siku, ila serikali ya awamu ya 5 imeamua kubana matumizi na kuongeza makusanyo zaidi ili ahadi za rais Dkt Magufuli zitekelezwe kwa wakatiikiwemo ya elimu BURE...tayari mashule yamepigwa MARUFUKU kukusanya michango ya aina yoyote kutoka kwa wanafunzi.

#HapaKaziTu

Hajasema ''Hazina hakuna fedha'' ila kasema ''Hazina haina fedha za kutosha"
Yuko sahihi na hii inathibitishwa na ukosefu wa huduma toshelezi pamoja jitihada zinazofanywa na Mh. Rais na Waziri mkuu kubana matumizi na kuziba mianya ya ukwepaji kodi!
 
Mwenyekiti wa jumuiya ya Wazazi CCM Abdalah Bulembo,ametoa tamko kuwa hazina haina fedha za kutosha,Mtanzania inaripoti katika page yake ya 7.Aidha Bulembo amesema serikali itabana matumizi yake ili kupata pesa za kuwaletea maendeleo wananchi.USHAURI:Bulembo kampeni zimeisha,tofauti majukumu ya serikali na aliyekuwa kampeni meneja.Usiingilie mamlaka husika

Kajuaje?
 
JK kakaushaaaaa hazina... na alaaniwe...!!!

Pia Bulembo sio msemaji wa serikali, ingawa ni vizuri kafichua siri... KUWA TREASURY iko ICU...
Anajua kiasi alichochota akiwa kampeni meneja kumuweka Pombe madarakani.Watangaze miezi 18 ya kujifunga mkanda kama ilivyokuwa baada ya vita vya IDD AMINI DADAA .Uchaguzi ulikuwa zaidi ya vita.
 
Tatizo la kuishia darasa la saba halafu unataka kushindanisha akili zako na masters degree holder ndio hili.

Wewe wa darasa la saba unaposoma andiko la mtu uwe unatukia hizo akili zako za STD VII zitakusaidia kidogo...hapo kwenye andiko langu ni nani ambae nimemshangaa? Nimemshangaa huyo Bulembo amejuaje mambo ya Hazina!?
acha kutukana standard seven wewe
Nani kakwambia standard seven hawana ujuzi wa mambo.
Mbona mulugo ana degree lakini kichwa maji Tu?
Kwani kuwa masters holder ni kujua mambo?
 
Ile milioni 50 kila kijiji veepee :what::what::what:
 
hivi mfano tuseme hazina hakuna pesa (though si kweli) mtafanya nini...? mtapeleka hizo pesa hazina au..
 
Darasa la Saba ni elimu kwa majority hapa Tanzania, na siyo kosa la 'msomi' wa elimu hiyo peke yake. Serikali yetu imechangia pia!! Na ukitumia darasa la saba Kama 'tusi' utatukana wengi, Kama wazazi wako, wajomba, shangazi, nk.
Pili: jikite kwenye hoja kistaarabu, mjibu mtu katika hali ya kuelimisha, tumia Masters na PHD zako kujenga wengine, na siyo kuwaponda!! #nimetumiadarasala7kushauritu!

Huyo binti Hamida ni limbukeni tu anayeishi mjini kwa kutegemea unenguaji katika majukwaa ya CCM,Muda si mrefu atarudi kijijini kwao mbekenyela kushirikiana na wazazi wake kulima ufuta.Anaishi mjini kwa kutegemea posho ya buku 7,akisikia habari za kufilisika kwa Serikali akili zinamruka.
 
kwa uandisHi wako na majigambo nadHani masters yako ni ya ukanjanja..tuondolee usHuuuzii wako changia mada sio kukashfu wato wewe ----

Tatizo la kuishia darasa la saba halafu unataka kushindanisha akili zako na masters degree holder ndio hili.

Wewe wa darasa la saba unaposoma andiko la mtu uwe unatukia hizo akili zako za STD VII zitakusaidia kidogo...hapo kwenye andiko langu ni nani ambae nimemshangaa? Nimemshangaa huyo Bulembo amejuaje mambo ya Hazina!?
 
Mi nimeshtukia haka kamchezo kakusema hazina haina kitu! Kamchezo haka kamelenga kuwapumbaza watanzania waamini kwamba Mh Pombe hajakuta chochote hivyo amefanya kazi kubwa sana kuliongoza taifa.

Kwanini nasema hivyo? Nasema hivyo kwasababu ili hazina iwe haina kitu inabidi TRA wawe wameacha kabisa kukusanya mapato kutoka vyanzo vyote. Je TRA hawakusanyi kodi? Ukikurupuka utasema hovyo lakini anayejua atakuja na hoja za msingi
 
Kipindi mafsadi na majizi yanaharibu nchi hii na kupelekea ugumu wa maisha kwa watanzania wanaccm walikuwa wanawatetea na hata pale ambapo upinzani ulijaribu kusema waliitwa wachochezi wenye uchu wa madaraka waongo na wazandiki, leo hii Magufuli anarekebisha hayo yaliyokuwa yanasemwa na wapinzani wao wamekuwa wa kwanza kumsifia hasa humu mitandaoni hichi ni kiwango cha juu cha unafiki rais awe makini na watu hawa.
 
Nadhani tatizo lilikuwa kwenye matumizi makubwa ya Vasco zaidi ya kipato.

Na vilevile vasco da Gama aliachia loopholes nyingi sana kiasi kwamba watu wakawa wanapiga TU hela.
Sasa ukitaka kufanya mradi mkubwa hapo ndiyo inakuwia ngumu
 
Tatizo la kuishia darasa la saba halafu unataka kushindanisha akili zako na masters degree holder ndio hili.

Wewe wa darasa la saba unaposoma andiko la mtu uwe unatukia hizo akili zako za STD VII zitakusaidia kidogo...hapo kwenye andiko langu ni nani ambae nimemshangaa? Nimemshangaa huyo Bulembo amejuaje mambo ya Hazina!?

Wewe na hiyo masters yako mbona hujaainisha kuwa TRA wanaingiza kiasi gani huko hazina kwa siku na serikali inatumia kiasi gani kwa siku? Km wanaingiza kwa mfano laki 1 alafu serikali inatumia hiyo laki moja kwa siku hapo utasema hazina kuna pesa?
 
Mi nimeshtukia haka kamchezo kakusema hazina haina kitu! Kamchezo haka kamelenga kuwapumbaza watanzania waamini kwamba Mh Pombe hajakuta chochote hivyo amefanya kazi kubwa sana kuliongoza taifa.

Kwanini nasema hivyo? Nasema hivyo kwasababu ili hazina iwe haina kitu inabidi TRA wawe wameacha kabisa kukusanya mapato kutoka vyanzo vyote. Je TRA hawakusanyi kodi? Ukikurupuka utasema hovyo lakini anayejua atakuja na hoja za msingi

Ikiwa dunia tu inabadilika, sembuse binadamu!? Sioni kama kuna haja ya kuwashukia WanaCCM kama ulivyofanya hapa.
 
Kipindi mafsadi na majizi yanaharibu nchi hii na kupelekea ugumu wa maisha kwa watanzania wanaccm walikuwa wanawatetea na hata pale ambapo upinzani ulijaribu kusema waliitwa wachochezi wenye uchu wa madaraka waongo na wazandiki, leo hii Magufuli anarekebisha hayo yaliyokuwa yanasemwa na wapinzani wao wamekuwa wa kwanza kumsifia hasa humu mitandaoni hichi ni kiwango cha juu cha unafiki rais awe makini na watu hawa.

Huu uzi una uhusiano gani na hii mada Invisible
 
Last edited by a moderator:
Sikuwa nataka kuchangia lakini imenibidi. Najiuliza; Hivi ccm bado wanataka kufanya kazi kwa mazoea?? Wakumbuke, awamu iliopita haikuwa na msemaji wa serekali. Kila mmoja alikuwa na uwezo kusema kwa ajili ya serekali. Kinana anasema, Nape anasema, Mangula anasema mpaka hata huyu Belembo anasema.
Leo Bulembo anatokea jukwaa la kampeni anadhani kuwa bado ana uwezo wa kuisemea serekali ambayo "Haipo" mpaka sasa kwani ni viongozi 4 tuu tunao mpaka sasa na bado nchi inaenda.
Ningetamani, mwenye uwezo wa kumwona huyo Bulembo amwambie, JPM sio kiongozi wa kuongozwa, ni Kiongozi wa kuongoza. Atamwongoza hata huyo Bulembo. Asimtolee matamko. Kama alienda kudai fedha ya kampeni hazina, alijibiwa vizuri tu. Hakuna hela za kutupatupa tena ka zile za wakati uleeee.
Hajiulizi JPM ataenda lini Cape town kujitambulisha kuwa kachaguliwa na "Malofa na wapumbavu" kuiongoza Tz? Hajiulizi, ataenda lini NyC kumwambia Obama, jirani yake pale Ziwa Victoria kuwa sasa kawa rais wa Tz?
Hazina kwa sasa haina pesa za kihivyo. Zipo za vipaumbele vingine
 
bulembo hana jipya.kampachika mtoto wake kwenye bunge la muungano kama hisani ya kupiga kampeni kwa ccm...
 
Back
Top Bottom