hilo liko wazi
unfortunately!!!!!!
hilo liko wazi
Ulishaambiwa hao ni mainterahamwe nyinyi hamuelewi somo; chama ambacho kimekataliwa hadi kinaogopa kujiweka kwenye mabango ya mgombea wao bado kinatamba kwamba kina hati miliki ya nchi! wapinzani jipangeni msidhani kura itawapelekeni IkuluKauli hii imenistua kidogo. Akihutubia umati wa wananchi waliofika kusikiliza kampeni za chama cha kijani, mwenyekiti huyo wa jumuiya ya wazazi amesema wao watakuwa tayari kufanya yote ispokuwa hawataruhusu mtu kuingia ikulu. Mimi ninavyojua wananchi kupitia kura zao ndio wenye mamlaka ya kuamua nani aende ikulu.
Kimsingi sijaelewa ana maana gani, kwa kuwa kauli hii ni tata. Wataalamu wa methani mjaribu kuidadavua kauli hii.
Source of the quote> ITV Habari
Huu ndio mwaka malofa muwahakikishie sisiem kwamba hawana hati miliki ya nchi hii; hii nchi ni yetu sote na sio mali ya wanyonyaji ambao wako tayari kufanya lolote kubakia madarakani. Wanatishia amani halafu wanageuka kusema wapinzani ndio wataleta vurugu kumbe wanatangaza kwamba hawatakubali kutolewa mkate mdomoni hadi kuchimbikejamani ehh, wale maloda,wapumbavu ndio tutakao chagua nani aingie ikulu.Nilishawahi kusema kuwa ccm si chama cha wananchi bali ni umoja wa wachache au daraja fulani;wenye kufaidi keki bila na huku kutegemea yule mpumbavu na lofa apike keki kwa jasho na kazi kubwa bila yeye kufaidi.
mwaka huu lazima yule mpishibwa keki naeafaidi.Haiwezekani keki ikaaliwa na watu wachache tena kwa kupeana na kujuana. leo hii kijana wa kawaida tu kutokea huko lindi sijui eapi ndani ndani hana fursa kama mtoto mwingine yeyote kutokana na matabaka ccm walioleta na kupandikiza kwenye jamii zetu.
umaskini na ujinga ndio umekuwa maradhi makuu na ndio imekuwa ikituua na kutumaliza kila leo.
say no to CCM. ni bora tuanze upya na hawa wapinzani wakituzingua tunawadondosha pia mpaka kieleweke.
Tanzania oyeee!!!
Sa mbona jumla ya % haztimii 100? ni 97? got some shades of doubt!
Waache watishe haina shida bt nawatu wakaskazini tumejipanga kura zetu nyie pigeni kura tu... kaskazini oyeeeeeeeeeee
Bulembo hajakosea, ni kweli wapinzani hawawezi kwenda ikulu. Maana chama kinachoshindwa kwenye uchaguzi ndo kinakuwa chama pinzani na hakiwezi kwenda ikulu! Wanajiweka sawa kisaikolojia.Mpuuzi tu huyu! Tuliokuwa karibu na CCM enzi hizo tunamfahamu kiundani! Hana chochote kipya zaidi ya kutingisha wowowo!