Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,556
Naomba nec ichukue hatua kwa kauli ile, cha ajabu wana kigoma wanashangilia, hao wakimbizi wa burundi kwenda kigoma wanalalamika siku zote kuwa wanavamiwa, tusubiri nec itasemaje, sijui napo itasema ni lugha za siasa manake watawala wakitamka wanasema ni lugha za siasa ila wapinzani wakisema eti wanachochea vurugu