youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
Hili liko wazi.lakini mwaka huu ccm wanatoka mark my words
poa poa
Hili liko wazi.lakini mwaka huu ccm wanatoka mark my words
ni ngumu kuwatoa ccm kwa alama ya tiki tu watazusha maafa hawa watu
Hili liko wazi.lakini mwaka huu ccm wanatoka mark my words
Hata kwenye mahakama ya Simba Fisi Hana chake
Aliwazalo mja ndio limpatalo. Ukiwaza ccm haitoki ni kweli haitatoka.