maneno Hayo Ni kawaida Kwa Mtu Anayetapatapa, na kukosa Kimbilio
CCM itashinda asubuhi mchana
hiyo siku ndo ataijua nguvu ya umma
je kwani ikulu kuna nini? eti hawatakubali uchaguz mana yake nini basi kama sio kutafuta atakayekaa ikulu? akichaguliwa lowasa je wanaingia msituni? mbona sielewi maana ya hatutakubali kukabidhi ikulu. ebu tujadiliane wanajamvi
Sio ujinga sie watu wa kaskazini wanajeshi kamili nasio sungusungu so nyie pigeni kura tu kaskazini tupo kamili gado kuzilinda
CCM itashinda asubuhi mchana
ccm wanatafuta pakuangukia hawajitambui kabisa...Haaaaa haaaaaa,mm nilikuwepo pia aisee,yule bwana mdogo wa ali maua alimnyoosha bulembo,wasiomjua wanadhani ni jembe kumbe kimeo,yaani ccm wameishiwa mbinu mpaka wanamtegemea bulembo!!!
ww ondoka nenda kokote duniani alimradi usivunje sheria
Kauli za uchochezi tusubiri kama NEC watatoa ufafanuzi
Hapahitajiki binocolar kuona mmeshindwa !
Umeme tu ! Umewashinda .
"tutauwasha rasmi Jjumaa ! Mgao utakua historia!"
Kiko wapi ?
Narudia tena kiko waapiii ?
Leo siku ya 5 mbele tokea Ijumaa !
Mnapumulia ICU huku mkinadi hamtoiachia "nyumba nyeupe" kwa gharama yeyote !
Hii nini maana yake ?
Maana yake waliowengi (wanabadiliko) hawatokubali kupokwa Ikulu yao .
What next ?
Next ni MKWETE !
Hemwe-hemwe na mshike-mshike ukianza , mwadhani ni sie tu wa mabadiliko peke yetu ndiyo tutakimbilia Rwanda , Uganda n.k ?
Hata na nyie mtaulaza , tutakuwa wote refugees camp !
NEC hawakuisikia kauli hiyo, na hawataisikia kamwe!