Bulembo: Hatutawaruhusu upinzani kwenda Ikulu

Bulembo: Hatutawaruhusu upinzani kwenda Ikulu

Kiboko yake ni kijana mmoja anaitwa ulole ulole,alimwangusha kwenye udiwan kata ya makumbusho dar na ngoma kwenda ukawa,hana mvuto hata kidogo huyo
 
Lazima JPM atamfukuza huyu mtu kwenye msafara wake wake wa kampeni kama alivyomfukuza Muigulu kwa kutukana wananchi
 
Hatuwezi kurudisha chama kinachotuzulumu watz,Escrow,EPA,Madini,tutakuwa wendawazimu watz kama hatujielewi vile.
 
Tena huyo Bulembo ni KILAZA of FIRST ORDER... standard 7... he thinks using his big stomach...!!!


REDET imevujaaaaaa...

Lowassa...... 64%

Magufuli..... 26%

Binafsi kauli ya Bulembo inabidi ilaniwe na watu wote wanaopenda amani ya nchi hii wakiongozwa na idara nyeti ya NEC na vyombo vya usalama,namnukuu Bulembo huko kigoma"mnajua kuna kitu ambacho CCM hatujawahi kufanya na hatutakuja kufanya mnajua ni nini?niwambie hatuwezi kuwaruhusu kuingia ikulu"mwisho wa kunukuu.Hatima ya taifa hili iko mikononi mwa watanzania wenyewe na sio hawa wanaojiona wao wana sauti kuliko watanzania wote.
 
Darasa la saba asiwape shida.... Hajui theories in political science
 
Eti hawa ndyo viongozi wanaongoza inchi, lazima shilingi ishuke thamani.. Ccm hovyo kabisa na nilazima watatoka mwaka huu...
 
Akiongea kwenye kampeni mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi CCM amesema chama hicho hakitawaruhusu wapinzani kwenda IKULU.
NB;Hivi CCM ndo inaruhusu watu kwenda IKULU kauli hii inaashiria kuwa hata kama upinzani utashinda hawatakubali washike madaraka.
Ninaomba wanasiasa wachunge ndimi zao wakati huu wa uchaguzi kwani hata CCM wakishinda wapinzani wataamini kuwa wameibiwa hali itayoleta machafuko na kupelekea mauaji acheni vitisho vyenu maana wanaoamua nani aende ikulu ni wananchi na sio CCM.

his speeches should noted!/
ni watu wakupeleka ""THE HAGUE"
 
Huyu LOFA ndiye aliyeanza kumfurumusgia dharau na kejeli Warioba wakati wa mchakato wa katiba mbovu,
Nakumbuka Warioba alimtoa nishai akasema hamjui,kwanza anamuonekano wa kike
 
Hakuna haja ya kurudisha CCM imetusababishia umasikini mkubwa hata uelewa wa watz kimataifa unaoneka mdogo
 
Hawa watu mbona wanakuwa kama wamevulugikiwa, kinini kimewapata? si wasubiri uchaguzi? kwani mtu kwenda ikulu ni hiyari au timu Fulani ya mpira kufungwa huwa ni hiari? Si kwa sababu inakuwa imezidiwa? Wasubiri uchaguzi wanainchi ndio watasema nani ataenda Ikulu kupitia sanduku za kura.

Kuna mambo Bulembo ana uwezo nayo kabisa kama kumwambia mkewe twende chumbani na siyo kumpeleka mtu Ikulu.Waliopo karibu naye wamweleze hili
 
Mbona Lowassa alisema ukawa itaingia ikulu asubuhi kwani yeye ndio mwenye maamuzi na ikulu.?

We mavi kweli umeelewa kauli yake? Hebu soma utofautishe ni ip inayoleta matatzo
 
Bulembo ni mtu magamba na mwenye tabia za kisagj. Yeye kwa uburura wake anaongea ili CCM wamuone mwanaume wa shoka kumbe mmbana pua wa pwani.
 
Lazima JPM atamfukuza huyu mtu kwenye msafara wake wake wa kampeni kama alivyomfukuza Muigulu kwa kutukana wananchi

Mwigulu kafukuzwa? Kweli wamedata, tunaomba hiyo clip ya Bulembo jamani, hivi ndio vitu vya kutuma ile mahakama ya Bensouda huko the Hague.. Tuweke evidence zote manake hawa watu wanafikiri hii nchi mali za mama zao
 
Kama walidiriki kuiba sera za Chadema, Elim bure mpaka chuo kikuu, vifaa vya ujenzi kushushwa bei, mikoa ya ziwa kunywa maji ya ziwa. Unaona ajab gani kuiba M4C??
CCM weshachanganyikiwa. Bulembo anasema tena kwa sauti kuubwa (ITV habari saa 2 usiku leo) atii; Hatuwezi kuwapa Ikulu watawale hao wapinzani. Kwa vyovyote vile hatuwapi.
Hivi ingelikuwa ni ukawa wamesema tu kwamba hata iweje hatukubali kushindwa hata tukishindwa, leo NEC wangelisema nini???
Viongozi wa ccm mmekwisha habari. Chama chenu mmekiua wenyewe. Hakuna yeyote anayesema mlifanya nini bali ni ahadi kwa sababu mmejua kuwa ahadi zenyu tangu Mkapa, HAZITEKELEZEKI. Lakini mmezoea kuwadanganya Watz kama watoto wadogo tu. Mwaka huu 2015 ni tofauti. Ikulu mtaitoa tuu kwani nguvu ya umma imeamua kuwatoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom