Ernesto Che
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,114
- 293
Nashangazwa na Ukimya wa UKAWA, hasa kwenye kauli kama hizi.. Why wasipeleke Tume? Wapeleke ili tusikie majibu yao na sio kunyamazia.. Kama lengo lao wakae madarakani milele, why tunafanya kampeni na kupoteza maBilion ya shiling kwa uchaguzi waliojipangia matokeo? Hii kauli inamwondolea Magufuli sifa ya kugombea
Mkuu haifai kuanza kulalamikalalamika anymore, tuendelee kukaza buti wao watazidi kupagawa. Lowassa kawapuuza wanachanganyikiwa CCM walitaka kuhamisha attention lakini wamefeli totally. Majibu yote yapo tarehe 25 which is around the corner