Amekiri alipokea RushwaKama alipokea nae afukuzwe kwenye chama
Amekiri alipokea RushwaKama alipokea nae afukuzwe kwenye chama
Kukiri hakusababishi asiwajibishweAmekiri alipokea Rushwa
Source ni mwananchi, nalazimika luamini jamaa alikuwa ananunua watu!! Mwananchi kwenda kinyume na maadili yake sio kitu cha mchezo mchezo!!Katika gazeti la Mwananchi la leo linaoongozwa na habari inayosema:
"Bulembo afichua milioni 40 alizopewa na Lowaassa"
Nimeiona hiyo headinga katika magazeti ya leo.
Sasa najiuluza hii habari ina lengo gani hasa?
View attachment 482098
Kweli, anamharibia mzee kuwa alikuwa ananunua watu chamani.Bulembo kaa kimya tu
aseee kwahyo hadi wale milion 6 according to NEC walinunuliwa duh kumbe jamaa anapesa za kuhonga watu wote waleKweli, anamharibia mzee kuwa alikuwa ananunua watu chamani.
Alambe mara ngapi? mbona pesa alichukua na kuzitafuna na mchepuko wake.Millioni 40 angelamba na kazi asimfanyie.
Ndiyo dawa ya mafisadi hiyo.
Bulembo licha ya kuwa ni mtu mzima bado ana mambo ya kihuni sana, kaamua kuzeeka na Tabia za ajabu ajabuaseee kwahyo hadi wale milion 6 according to NEC walinunuliwa duh kumbe jamaa anapesa za kuhonga watu wote wale
Mkuu Bulembo ukimwambia ajaze haka kajaribio kanaweza onyesha ana miama 16..Bulembo licha ya kuwa ni mtu mzima bado ana mambo ya kihuni sana, kaamua kuzeeka na Tabia za ajabu ajabu
Nadhani mngeisoma kwanza habari ingekuwa poa zaidi kuliko kusoma heading na kuanza kujitungia story na kulaumu
Eti anajisifu hadharani kwamba alipokea rushwa na kutoa.akamatwe huyo
Alambe mara ngapi? mbona pesa alichukua na kuzitafuna na mchepuko wake.
Tena jinga kweli kweli!! Shule.....zero brainAna shida huyu kama anaweza mkana mwanae eti kamsaliti kwa kuolewa na mpinzani si ni jinga hili....