Bulembo afichua milioni 40 alizopewa na Lowassa

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,691
149,912
Katika gazeti la Mwananchi la leo linaoongozwa na habari inayosema:

"Bulembo afichua milioni 40 alizopewa na Lowaassa"

Nimeiona hiyo headinga katika magazeti ya leo.

Sasa najiuluza hii habari ina lengo gani hasa?

20170317_052407.jpg
 
Anaogopa kutumbuliwa,, sasa kama kasema saahv kweli ataonekana hana mkia,,

Hapa ndo pale kundi la wanakijiji wanapomkimbiza mwizi kimya kimya,, lazima mwizi ajitaje tu mwenyewe
" jamani mimi mwizi, mimi mwizi" kwa hofu kuuu, maana anajua jamaa wanaomkimbiza kimya kimya wakimkamata watakachomfanya watapoteza mpaka ushahidi kabisa,
 
Katika gazeti la Mwananchi la leo linaoongozwa na habari inayosema:

"Bulembo afichua milioni 40 alizopewa na Lowaassa"

Nimeiona hiyo headinga katika magazeti ya leo.

Sasa najiuluza hii habari ina lengo gani hasa?

Mkuu lete habari kamili ndo tutacomment kwa haki....hapa tutaishia kucomment kwa hisia tu
 
''Ngaz yako lazima iwe imara, thabiti na iwe n urefu kuliko ww! Ila hata ukipanda ukafika juu kilelen huwez kugeuk kuwa ngaz na utaiitaj kushuka''
 
huju bashite nae darasa la saba B kwake chama ni muhimu kuliko ndoa ya mwanae mzee mzima ovyoo
 
Back
Top Bottom