Bulembo afichua milioni 40 alizopewa na Lowassa

Bulembo afichua milioni 40 alizopewa na Lowassa

Watanzania acheni upumbavu mnapoelezwa ukweli. Hata kama mnampenda sana Lowasa ni ukweli usiopingika kuwa he is corrupt person na hafai katika jamii yetu kupewa nchi kuongoza. Kaeni nae huko kwenu CHADEMA mnakopenda rushwa na kudhulumu haki za raia. Nyie mnapopewa rushwa mbona huwa hamtangazi? Leo Bulembo anaweka mambo hadharani mnaanza kuhoji. Ni nani asiyejua kuwa Lowasa alichangiwa fedha nyingi na wafanyabiashara wa ndani na nje ya nchi kununua wafanya maamuzi ndani ya CCM na CHADEMA akiwemo Mbowe aliyenunuliwa nani asiyejua haya?
Leo!! Alipewa lini? Mtoaji na mpokeaji wote ni hatia, acha kujitoa ufahamu
 
Watu wanamjadili Bulembo si gazeti ina maana hata bila gazeti Bulembo watu wangemjadili kwa sababu ni mojawapo wa wazee wajinga wajinga wasiojitambua.
Stupid .. Kinachodiscusiwa ni Kichwa cha habari ..cha Gazeti juu ya Bulembo .

Sifanyagi Argument na watoto kwanza . Go find your type
 
Ila unaweza aminiwa hata utalipa baadae,,, na uzur wa mahar ni maelewano ya pande mbili na hili je?
Hiyo kabila huku haijafika hiyo lazima ulipe angalau kidogo.
Namuomba Bashite atupe hata Leaving maana kwa Zero hakupata Academic
 
Hizo shs mil 40 alizilipia kodi? Hilo ndilo la kwanza aseme kabla hatujajua alipewa za nini. Kama wenzie waliopewa na Rugemalira walivyotakiwa kufanya.
 
alafu Lowassa hanaga muda wakuwajibu wajinga kama bulembo
 
Hiyo habari ya gazeti la Mwananchi ingewekwa hapa tupate kujadili vizuri uzi huu. Mleta uzi leta habari hiyo.
 
Kama kweli alimkana mwanae kwa hoja kama alimsaliti kwa maana ya kuwa chama kingine ,basi ajue tu kwamba Chama chake ni Mungu ! Kwa maana hiyo anahaki kutetea Chama chake kwa nguvu xote
 
Mleta mada ungesoma yaliyoandikwa ndani nadhani ingekuwa vizuri zaidi
 
Stupid .. Kinachodiscusiwa ni Kichwa cha habari ..cha Gazeti juu ya Bulembo .

Sifanyagi Argument na watoto kwanza . Go find your type
Marehemu mandela hakuwa mtetezi wa wajinga wajinga kama Bulembo alisimamia misingi bora ya utawala ndiyo maana hadi leo jina linaheshimika.
 
Kwa akili zenu zilivyi Pumba Mnaugharimu muda wenu kudiscuss Kichwa cha Habari cha Gazeti .
ww unayejidai una Akili usikute unashinda TV room kwa Shemeji yako Bulembo kutwa kuwngalia movie na kujiona mjanja kwa story za Hollywood, ngoja dada yako aachike ilivyokuwa na Akili ndogo lazima utatoa Siri zote za Bulembo.
 
DAH, KADA MWENZANGU ALIZITAKA ZANINI HIZO HELA, ZILIMSAIDIAJE KUSHINDA UCHAGUZI?
 
Ukisoma coment za vijana wa kitanzania unawasikitikia,

Sasa kama unaamin Makonda kahongwa gari lkn huamin kama Lowassa alitaka kumhonga Bulembo mil. 40 tukueleweje?

Hivi hizi huwa ni akili au matope?
 
Ukisoma coment za vijana wa kitanzania unawasikitikia,

Sasa kama unaamin Makonda kahongwa gari lkn huamin kama Lowassa alitaka kumhonga Bulembo mil. 40 tukueleweje?

Hivi hizi huwa ni akili au matope?
Gari zipo zinaonekana na bado zingine zilikuwa hazijafanyiwa transfer, kwanza mfano wa makonda hauendani na wa Bulembo kumbuka bulembo kakiri alienda kuwaomba mwenyewe hakukuwa na shinikizo lolote na alifika mahala akataka kuuza gari yake arejeshe pesa.
 
Back
Top Bottom