Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,901
- 27,411
Hivi humu ndiyo Luna watu wanashinda wanaponda Facebook wakati wenyewe huku wanaleta na kushinda wakijadili vichwa vya habari vya magazeti?
Kerry-democratic 2008 kura za mchujo,Mimi siasa za Tanzania zinanishinda hapo, upinzani si uadui, Obama alimteua Kerry kuwa Secretary of State kwasababu aliona uwezo wake ingawa alikuwa chama cha upinzani.
Kumbe lowassa ni jembe kiasi hicho,Katika gazeti la Mwananchi la leo linaoongozwa na habari inayosema:
"Bulembo afichua milioni 40 alizopewa na Lowaassa"
Nimeiona hiyo headinga katika magazeti ya leo.
Sasa najiuluza hii habari ina lengo gani hasa?
View attachment 482098
Ndio wanaotupa majina ya wenzao wanaodeal na hayo mamboLete vyeti, huo unga kama mnafanya vikao na wakina Mutalemwa na mnapokelewa na Kinje S/A kweli ni wapambanaji ua wapambaji wa unga?
Mkuu ndio tabia za watanzaniaKatika gazeti la Mwananchi la leo linaoongozwa na habari inayosema:
"Bulembo afichua milioni 40 alizopewa na Lowaassa"
Nimeiona hiyo headinga katika magazeti ya leo.
Sasa najiuluza hii habari ina lengo gani hasa?
View attachment 482098