Mangi Mlay
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 5,743
- 7,106
Huwezi daiwa mahari kabla hujachumbiaMbona hamkudai vyeti kabla ya Unga
Huwezi daiwa mahari kabla hujachumbiaMbona hamkudai vyeti kabla ya Unga
kamzidi nani kwa ufisadi?Lowasa ni fisadi sana
Tulikua hatujapata taarifaMbona hamkudai vyeti kabla ya Unga
Ila unaweza aminiwa hata utalipa baadae,,, na uzur wa mahar ni maelewano ya pande mbili na hili je?Huwezi daiwa mahari kabla hujachumbia
Acha kuishi kwa kukariri, usilazimishe watu wajue Uzushi wenu mbona watu wanajua kuwa CCM inatumia ruzuku kumpatia Lipumba aue CUF na kudhoofisha ukawa lakini hakuna chochote? Pesa za escrow, IPTL, reli kwenda Airport, ukarabati uwanja wa ndege, mabehewa feki, kivuko chakavu, kiwanda hewa lindi, chenji ya Rada, Lugumi, pesa za NIDA, mamilioni ya dola za marehemu Gadafi alikula Lowasa? acha kujito fahamu tambua kuwa wapika Uzushi huko CCM hawapiki bure wana bajeti yao kubwa lakini ww mkariri Uzushi wa CCM unakariri bure.Watanzania acheni upumbavu mnapoelezwa ukweli. Hata kama mnampenda sana Lowasa ni ukweli usiopingika kuwa he is corrupt person na hafai katika jamii yetu kupewa nchi kuongoza. Kaeni nae huko kwenu CHADEMA mnakopenda rushwa na kudhulumu haki za raia. Nyie mnapopewa rushwa mbona huwa hamtangazi? Leo Bulembo anaweka mambo hadharani mnaanza kuhoji. Ni nani asiyejua kuwa Lowasa alichangiwa fedha nyingi na wafanyabiashara wa ndani na nje ya nchi kununua wafanya maamuzi ndani ya CCM na CHADEMA akiwemo Mbowe aliyenunuliwa nani asiyejua haya?
Zilongwa mbali ,zitendwa mbaliMbona hamkudai vyeti kabla ya Unga
CCM kuna Kitengo cha propaganda , Uzushi uchakachuaji na mbinu mbalimbali za kudhoofisha upinzani na mkuu wake ni January makamba wajumbe ni akina Nape, makonda paul, bulembo na wengineo, hicho Kitengo kina bajeti yake kubwa sana ni Kitengo cha kutafuna pesa bila swali kwani mda wote hudai wapo kazini kuwakoroga Wapinzani.CCM hata mkisema maneno ya aina gani Kwa Mh.Lowassa hatutawaamini tunawajua CCM waongo
Mzee Bulembo huwa ni mshamba sana pia hupenda sifa za kijinga jinga sana, safari hii ngoja JF wamchane Live apate kujitambua.Alipokea au hakupokea.kama alipokea atoe maelezo alipokea za nini? CCM kila mti mwizi
Pengine karopoka bahati mbaya sasa atajuuta baadae ngoja watanzania watafakari isije ikawa ni mwendelezo wa skendo za kuwasahaulisha watu juu ya vyeti vya Daud Bashite, kwa sasa watu hawamsahau Daud hata walete nini.Kusema tu amepewa milioni arobaini haitoshi, arudishe hiyo hela na riba na pili apelekwe mahakamani kwa kupokea rushwa akijua kabisa ni kosa kisheria. Hao ndo wanaotufanya tubaki na mfumo mbovu wa uongozi Tanzania.
Kama kuna watu wana namba ya binti wa bulembo waiweke humu ili watu waanze maombi ya kumchumbiaHuyu kilaza aliyekuwa anagombea vibanda vya kitimoto Shekilango akatae mil 40?
Give me a break!
Watu wanamjadili Bulembo si gazeti ina maana hata bila gazeti Bulembo watu wangemjadili kwa sababu ni mojawapo wa wazee wajinga wajinga wasiojitambua.Kwa akili zenu zilivyi Pumba Mnaugharimu muda wenu kudiscuss Kichwa cha Habari cha Gazeti .