Hivi Bukoba kuna hata supermarket?Majengo ya serikali ni ya wale wahindi waliopo migeyo umefika miembeni wewe,kashura kibeta,rwamishenye,jamhuri road,kashozi road, hamugembe je nshambya mafumbo, kahororo,ihungo jee bk haufahamu kumbe kufika stend ya bukoba ni kama nyegezi na mwanza bk hauifahamu hizi hotel za serikali?tembea uone bkb kwanza majengo hayo mengi ya zamani yalitetemeshwa sasa hivi yanajengwq mapya so ya serikali-gallery/0a6e11f12dc249274197e0cfd4f92762.jpg[/IMG]
Nikiwa nipo bukoba napendaga hapa millennium bar maeneo ya migera watu ni wabunifu kweli
Tuachane na kodi tuje ktk walimbwende WENYE wa kaskazini na MAENDELEO kwa uchache:Acheni kufananisha kifo na usingizi, huo unaouita uzuri wa majeng wa Bukoba una implication gani katika uchumi wa sehemu husika?
Embu kodoa macho kwenye hizi takwimu za TRA uniambie hiyo Bukoba yako inaingia vipi kwa Kilimanjaro
View attachment 451273 View attachment 451274 View attachment 451275
inabidi pia uangalie na utamaduni wa eneo husika. kule hawana utamadunu wa kula kwenye mabarabara. watu wanapenda zaidi kula chakula kilichoandaliwa nyumbani. ni aibu mtu kula kwa hotel. kwa hiyo biashara ya hotel kwa ujumla kule si nzuri
Hawezi kujibu, ukiwa unapingana na facts ni sawa na mtu anayepigana na ukuta ataumia tuAkikujibu niite
Tunapiga kwanza mbege ikoleemoshi hampo..leteni picha na nyie
Hizo tuhuma hata nyie mnazo.. Tena mpaka nyie kwa nyie... Mnabaguana.Mkuu nimekaa Bukoba, sijawahi kuona jamii za kibaguzi kama Kagera. Usifananishe hayo makabila ya Kaskazini na Kabila la Kagera. Kuna ubaguzi mkubwa kama kuuza bidhaa kulingana na lafudhi ama kuongea kilugha mpaka stendi ya mkoani? Vipi kuhusu kusengenya wengine kilugha hata mnapokuwa wawili tu wa kabila hilo? Walahu Wachagga,Wamasai na Wameru wanaheshimu watu wengine wasio wa kabila lao na kuzungumza Kiswahili, labda itokee hawajui kiswahili.
HaswaaaTuachane na kodi tuje ktk walimbwende WENYE wa kaskazini na MAENDELEO kwa uchache:
Shose sinare
Nancy Sumari
Theresa Shayo
Shose Sinare
Hoyce Temu -dada wa shoka
Dogo vipi.. CDM unayoishabikia ni ya wamoshiEndeleen kudanganywa na ccm
Walimbwende cheki Wa bk Angela kairuki,malaika,lulu Michael,madam Rita,Tuachane na kodi tuje ktk walimbwende WENYE wa kaskazini na MAENDELEO kwa uchache:
Shose sinare
Nancy Sumari
Theresa Shayo
Shose Sinare
Hoyce Temu -dada wa shoka
watuletee wa BukobaHaswaaa
Dogo ana bahati this time of the year hatuna muda wa mabishano tunakula mbege tu..Hawezi kujibu, ukiwa unapingana na facts ni sawa na mtu anayepigana na ukuta ataumia tu
Niambie jengu hambalo limewekwa picha na halipo moshiYaani moshi hamna kitu zaidi ya jengo moja tu hilo la blue, alafu kusema vijijini moshi pako vizuri mbona bk safi tu. Anyway wachagga acheni sifa za kijinga mdogo wangu yuko moshi analia na joto kali huko
Inabidi uwe umefika Moshi na Bukoba ndio uweze kuchangia.