MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 4,735
- 9,188
Huu ndo ujinga wajinga kama wewe mnaofanya baada ya kupewa ukweli. Nimetaja Songea tayari unajaji Songea ni kwetu. Kwetu ni Nzega karibu sanaWewe kwenu Songea Luna nini cha Maana. Fungua uzi wa kulinganisha songea na Lindi mjini
Kuna watu wanaanzisha ila mtu wa Moshi hawezi kuanzisha uzi kuponda eti Bukoba, Bukoba kuna watu wa Moshi wengi, mtu wa Moshi anajua Bukoba ikiendelea ni faida kwakwe au kwa mtanzania yoyote kwa kuwa anaishi mji wowotePovu kweli nyie wenyewe ndo mnaanzisha nyuzi kuibeza bukoba sasa tunataka kuwadhibitishia kuwa bukoba sio ya mchezo.tumechoka mpaka wengine wanalinganisha bk na babati,kigoma,songea,kahama,musoma nk.mulivianzisha wenyewe sasa hebu tuwalize na bukoba halisi ibayokua kwa kasi
Acha ujinga kuniita mdogo uwapo nyuma ya keyboardUlitaka chakula cha buku jero ndo maana ukazurura hivyo. Pole mdogo wangu. Next time ukija jipange
Kweli mkuu nyinyi mpo juu kwa kila kitu nshomile, ni nani anayekubishia (anayedanganya anajidanganya mwenyewe)Mkuu tupe na za nyakato sec nasikia wapo wanaendelea na ujenzi
Nje ya majiji yetu,manispaa Za hadhi ni Moshi na Dodoma na ndio ziko kwenye Mipango zifanywe Majiji...Hizo hotel umeziona shida ulikuwa mshamba sana na ulianza kushangaa shangaa tu na kucheki milima ilivyo na majumba au unawaogopa kuwaproach wahaya.bukoba ni moja ya miji michache nchini yenye hotel nyingi,cafe,resorts, na pub nyingi kama picha zinavyojieleZa sio porojo zako
Mkuu stendi walishafika hapa Leo jpili sehemu ilishapanuliwa ili kuweka lami baada ChristmasAt least Asee kale kastand ndo chanzo cha vumbi mjini pia halmashauri inashindwa kujenga b arabara za viwango mtaani wanamwaga tumoramu afu vibarabara vidogo kama voliongolelo wanatuangusha sana
Bk wahaya wengi tu kwanza bk ni full kihaya tu .bk siku hizi hata wa mikoani wameanza kurudi ndo maana bk unakua kwa kasi sanaKwa mlingano wachaga wako vizur sana kwan wao ndio wajenz wa miji mingi zaid tz kwa sasa kwani hawa hata kwao hawapo wamesambaa nchi nzima wakisaka hela hivyo hata bk kiasi flan imejengwa na wachaga aoao so waheshimuni sana hawa watu
Nyie mnaanzisha nyuzi nyingi mkiiponda bk kwa uongo,chuki na majungu ndo maana yamewatokea wahayaHuu uzi kaanzisha nani? si mtu wa Bukoba huyu? pia nenda ka search nyuzi za Mwanza vs Arusha utaona ni watu hao hao wa Mwanza...Watu wa Moshi tuponde na kujivuna mkoa gani kwa lipi na wakati tupo kila mkoa?
Unajivunia mkoa umeendelea huku wanayofaidi hayo maendeleo ni waaarabu na wahindi na na nyie mkiwa mnalala na vinyesi vya ng'ombe?
Safi sana naona madiwani wangu wanafanya kazi akiwemo mwakyoma wa bakobaMkuu stendi walishafika hapa Leo jpili sehemu ilishapanuliwa ili kuweka lami baada Christmas
Hebu fuatilia nyuzi nyingi.zimeanzishwa ili kuiponda bk hebu search bukoba, wahaya utaona ukweli ndo maana tumeamua kuwaumbuaKuna watu wanaanzisha ila mtu wa Moshi hawezi kuanzisha uzi kuponda eti Bukoba, Bukoba kuna watu wa Moshi wengi, mtu wa Moshi anajua Bukoba ikiendelea ni faida kwakwe au kwa mtanzania yoyote kwa kuwa anaishi mji wowote
Majengo uliyoyaona ni ya kizamani? Porojo nyingi bila factsWekeni na majengo ya MOSHI TOWN JAMANI, ILA BUKOBA ni mji wa zamani, majengo ya kizamani sana, MOSHI NI MASHINE, mji uliopangwa VYEMA SANA, MAGOROFA MENGI MNO, BONGE LA MJI, MIMI HUWA NINA KESI MOSHI
Hata kwenye kanga yapo kijana .sikushangaiNje ya majiji yetu,manispaa Za hadhi ni Moshi na Dodoma na ndio ziko kwenye Mipango zifanywe Majiji...
Yaani izo picha unazotuma na kuziita hotel unasikitisha sana kijana, izo ni simpe lodge tu na wala hakuna hotel apo!!
Kagera ni moja I mikoa duni Tz masikini kibao, eat that