Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Hahahahaa huyu jamaa ni kilaza wa kutupwa tumuhurumie tu
 
Hii ipo maeneo gani nije kula bata hahaha
Kumekuwepo na mabishano makubwa kuhusu mji Wa bukoba na moshi ni mji gani mkubwa kwa eneo,majengo,idadi ya watu,miundo mbinu,mzunguko Wa pesa,na importance ya mji na location changia kwa facts. Karibu
 
Uchumi wa Manispaa ya Moshi unatokana na biashara, viwanda na utalii. Manispaa ina viwanda 58 (Vikubwa na vidogo) vinavyoshughulika na vinywaji baridi, ukoboaji wa kahawa, uzalishaji wa viberiti, vinywaji vikali. Kuna maduka ya jumla 93 maduka rejareja 2276, SACCOS 58, masoko 7, supermarket 58 mabenki ya biashara 15, maduka ya kubadilisha fedha za kigeni 7, maduka ya madawa 126, maduka ya Shajala (stationery) 112, mahoteli 33 na nyumba za kulala wageni 118.

Wakazi wengi wa Manispaa wanajishughulisha na biashara ndogo ndogo, kilimo na ufugaji maeneo ya pembezoni mwa mji. Wachache wameajiriwa katika Taasisi mbalimbali za serikali na za binafsi. Kila mkazi anakisiwa kuwa na pato la wastani wa Dola za Kimarekeni 950 kwa mwaka.

  • Mwelekeo wa Halmashauri
Katika miaka kumi (10) ijayo kuanzia mwaka 2015 -2025 Manispaa ya Moshi iwe jiji litakaloendeshwa kwa misingi ya utawala bora.
##
KILIMANJARO REGION.
The region covers an area of 13,209 sq. km. or 1.4% of the area of the entire Tanzania Mainland. Administratively, the Region is divided into six districts namely Moshi, Rombo, Mwanga, Same, Hai, and Siha with seven Local Government Authorities. The Region has a total of 30 divisions, 153 wards and 472 villages.


Total population (2002 Census) 1,376,702

Population Density (2002 Census) 104 per sq. km.

Population growth rate (2002 Census) 1.6 %

Urban population (2002 Census) 21 %

Rural population (2002 Census) 79 %

Total population (Est. 2010) 1,635,870

Males (Est. 2010) 797,764

Females (Est. 2010) 838,106

Regional GDP (Yr 2010) Tshs. 1,438,637 mill

Per Capita Income (Yr 2010) Tshs. 945,437/=

Education: Literacy rate: 95% (2010). There are 933 primary schools (887 Government, 46 Private); 313 secondary schools (215 Government, 98 Private), seven Teachers Training Colleges (three Government, four Private), 77 Vocational Training Centres (six Government, 71 Private) and five University Colleges (one public, four private).



Health Facilities: 19 Hospitals including two referral hospitals KCMC and Kibong’oto Hospitals; (six Government, 13 Private), 36 Health Centres (22 Government, 14 Private) and 341 Dispensaries (152 Government , 189 Private).


Water: Population served with clean and safe water is 72% (2010)


Roads: The region has a good road network linking it with its neighbouring regions of Tanga and Arusha and to the Republic of Kenya which gives it an access within and outside the country. In total, it has 3646.07 kilometres of roads out of which 443.8 kilometres are tarmac.
 
Bukoba imeiacha mbali Moshi kwenye kipi kuwa specifically kwamba kwa namna nilivyokaa au kutembea Bukoba na Moshi, Moshi au Bukoba imeiacha mbali mwenzake katika abcd hapo unaonekana unachoongea kina mantiki
Kwenye kila kitu, mpaka akili na ndio maana Maxence Melo Mubyazi ni Muhaya kawawekea Jamii Forum platform hili muongee kila kitu hata hivi vya uwongo
 
Unafikiri ni Melo peke yake? Pole

JamiiForums is a Tanzania-based social networking website in East Africa founded by Maxence Melo and Mike Mushi in 2006
JamiiForums - Wikipedia
Kwenye kila kitu, mpaka akili na ndio maana Maxence Melo Mubyazi ni Muhaya kawawekea Jamii Forum platform hili muongee kila kitu hata hivi vya uwongo
 
mimi si mwenyeji wa bukoba wala moshi mjini lakini mie naona kigezo kizuri kwenye hii league ni takwimu za
(1)Uchumi mf. per capital income.
(2)Ubora wa huduma za jamii (social service) hapa linganisheni elimu inayotoelewa kwa viwango mbali mbali na ubora wake,Afya ya msingi mortality rate,ubora wa huduma za afya mf. idadi ya zahanati,vituo vya afya,hispital na huduma za afya in advance mf referal hospital na ubora wake wa huduma.Huduma za maji safi na salama.miundombinu,utalii n.k.Na takwimu ziwe certified sio za kuokota okota.
Ni bora league ihusike na mkoa kwa mkoa na sio MJI KWA MJI.Maana yangu ni kwamba mji unajengwa na watu wengi kwa ushirikiano na serikali.But maisha ya vijijini yana reflect viwango vya maendeleo ya watu.
LEO HII kwa mfano ukienda Ethiopia utakuta ADIS ABABA Imejengwa sana FLY OVER za barabara nyingi za kutosha lakini ukienda vijijini maisha wahabesh utachoka ni ya ajabu (ni mfano tu) Soma usitukane hili ni jukwaa huru.
Si sahihi kutumia picha za majengo kama kigezo ni rahisi kuweka picha za sehemu nyingine kwa lengo la kujipatia alama.
 
Huyo aliyeweka data za Moshi amejitahidi mwingine tena wa Bukoba abandike za kagera then ma judge wataamua utamu.
 
Well mdau yaani hawa jamaa wanaifananisha Moshi na Bukoba ? Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firaoni
 
Ngoja waje waseme hapo ni miam
Kaka picha ya mwisho hiyo ni Hot spring chemka sio...



Catholic diocese of Moshi Mwenge retreat center



Well mdau yaani hawa jamaa wanaifananisha Moshi na Bukoba ? Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firaoni
 
Hapa umefunga mjadala rasmi tena kwa kiheshima tunataka na Bukoba walete geographical data zao tufunge mjadala.
 
Hii Lodge ipo o Mwanza Nyegezi
Lini umeihamishia bukoba?? Hahahahaa
IPO muleba barabara ya biharamulo unakaribisha uje uione unapinga bila kufanya utafiti nyegezi wapi? Unafikiri bukoba ni mji mdogo et kwanza uwezi ona umaarufu ulio nao
 
Hizo pictures 90% sio bukoba hapo zipo za Arusha hiyo New Arusha hotel lini imehamishiwa bukoba na mBasha building lini limehamia bukoba??? Hahahahaa pole lakini ndio hivyo aliekuacha kakuacha tu.
Mm baasha building iko wapi kati ya hizi picha bukoba ni level nyingine cheki hii tena
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…