kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,121
- 24,398
sasa we kunguru muleba ni bukoba? hebu acha umavi tunazungumzia moshi vs bukobaIPO muleba barabara ya biharamulo
sasa we kunguru muleba ni bukoba? hebu acha umavi tunazungumzia moshi vs bukobaIPO muleba barabara ya biharamulo
Unaumwa hebu Google walkguard hotelhiyo hotel ipo Easy London South Africa tena umeitolea hapa
Premier Hotel EL ICC (East London, South Africa) - UPDATED 2017 Reviews - TripAdvisor
Duuu huyu chalii kavurugwa yaani unatuwekea mipicha ya south hapa unatudanganya ni kaitaba kulaleki nisikukamatehiyo hotel ipo Easy London South Africa tena umeitolea hapa
Premier Hotel EL ICC (East London, South Africa) - UPDATED 2017 Reviews - TripAdvisor
That's walkguard hotel IPO kashura barabara ya maruku mlimani
Fika uone acha kulazimisha ushindi Google kaitabaDuuu huyu chalii kavurugwa yaani unatuwekea mipicha ya south hapa unatudanganya ni kaitaba kulaleki nisikukamate
Endeleeni kudanganywa na serikalihahaaa mkoa maskin zaidi tz ni kagera
Eneo MoshiKumekuwepo na mabishano makubwa kuhusu mji Wa bukoba na moshi ni mji gani mkubwa kwa eneo,majengo,idadi ya watu,miundo mbinu,mzunguko Wa pesa,na importance ya mji na location changia kwa facts. Karibu
kagera ni khahaaa mkoa maskin zaidi tz ni kagera
Wewe toa ulanzi hapa kwani moshi umeambiwa wanaishi mjini na kwa taarifa nikupe kama ulikuwa hujui moshi mjini pilika pilika mwisho jumamosi jumapili karibu robo tatu ya wakazi wa mijini utawakuta wapo milimani kwenye makasri yao kujumuika na ndugu na jamaa siku ya jumapili jumatatu wanaamsha majeshi kutafuta chapaa upoo.maendeleo cyo kuwa na majengo marefu,wakazi wengi wa mkoa kagera wanaishi vijijini na hii kutokana na kuwepo na huduma zote muhimu za kijamii,mkoa umejariwa ardhi yenye rutuba kuna haja gani ya kwenda kujazana mjini
Acha upimbi wewe. Mbona kule moshi mmeolozesha takataka kibao ambazo azipo moshi au wewe ndio wale walesasa we kunguru muleba ni bukoba? hebu acha umavi tunazungumzia moshi vs bukoba
huna hoja yenye mashiko punguza viroba na ugoro mimi ni intellectual bwana i know what i meanWewe toa ulanzi hapa kwani moshi umeambiwa wanaishi mjini na kwa taarifa nikupe kama ulikuwa hujui moshi mjini pilika pilika mwisho jumamosi jumapili karibu robo tatu ya wakazi wa mijini utawakuta wapo milimani kwenye makasri yao kujumuika na ndugu na jamaa siku ya jumapili jumatatu wanaamsha majeshi kutafuta chapaa upoo.