dr Akanyonyi Ako
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 244
- 87
Shuda siyo ccm. ..maendeleo yanaletwa na fikira zako mwenyewe. Hata ukiwapa chadema hawatakuwa na jipyaa!!Laana imkute mtu yeyote anayeongerea maswala ya ukabila miaka 50 baada ya uhuru wa kifikra.. Ppl like you is one of the reason ccm bado ipo madarakani
Twebuga!!! Ni jadi kwahiyo wacha tuimwagie sifa bukoba!! Wa moshi wamekimbia na picha zaoNyie jamaa bana.... Sifa nyingi zimewajaaa... Halafu mbaya zaidi ziko damuni... Hata mkipewa dawa hamponi...
Wee umelewa mbege!!! Cool down tukirudi tunalinganisha intellectuals kajiandaeWee nawe sijui umekula maharage ya wapii ndio nini sasa unalia lia humu kuilinganisha Geneva Moshi na Bukoba
Aisee manispaa chafu ipi hiyoMoshi nimeishi miaka 15 nasasa nipo Bukoba miaka 8 lakini huwezi kuifananisha na Bukoba Manispaa chafu kuliko dampo
Toa hoja mfu ya usafi...mbona dar na mwanza majiji na machafu sana kuliko ata bukoba!!! Kampala jiji lakini chafu ije kuwa manisipaa ya BK!!!Moshi nimeishi miaka 15 nasasa nipo Bukoba miaka 8 lakini huwezi kuifananisha na Bukoba Manispaa chafu kuliko dampo
Kama hujafika basi huna la kusema!! Kaa utulie!!tuli...dah sijawai fika bukoba ila kwa vipicha ivo bukoba bado sana kwa moshi by the way mtoa mada unajitahidi kulazimishia hongera kwa ilo boss
KATEREROO AKA KATA FUNUAHvi lile tetemeko lilitokea juzi linaitwaje vile?
Club ni nyingi sana hukupata Wa kukutembeza kwanza oksjen ilishafungwa siku hizi kuna sky motel,rwabizi,cassanova,liquid nk shida hamkubali mpaka mnaanza sema uongo bk inaizidi moshii.beach ukwenda bunena na kabuwara nadhani mliogopa milima
Saaa we unaogopa radi!!! Emu kuwa siliasiii ama amia kwa wanga wasiotisha wanakuja kimya kimyaHuko kote nlienda ,bk padogo Hamna sehemu nlikacha.we Ni mbishi tu ,bk pakawaida tu ,radi zikianza Ni Hatare unatamani kurudi nyumbani mda huo huo.
Hacha kulewa mbege usifananishe bukoba na sehemu ndogo kama moshi!!! Tuheshimiane kabisa hapa!!!unafananisha moshi na vijiji kama bukoba.acha uchizi we mtoa mada
Saaa we unaogopa radi!!! Emu kuwa siliasiii ama amia kwa wanga wasiotisha wanakuja kimya kimya
Acha upuuzi ww toka huko kwenye joto kali njoo upate hali ya hewa safiiiiiiiiiunafananisha moshi na vijiji kama bukoba.acha uchizi we mtoa mada
Kiwanda cha soda boniteNioneshe jengo la Mengi hapo moshi
Kawadanganye ambao hawapajui. ..ilo ni mengi la Kiwanda cha Maji Asilia na Pembeni kuna depot ya Tanzania Breweries
BK bado sana Mkuu ukiilinganisha na Moshi.............Moshi inaweza kujitawala kama free state na mambo yakawa shwari lakini siyo BK.hahahahaha we jamaa umemaliza kila kitu. kwahiyo Ruttashobolwa katokea Chad
We hamka usingiziniiiiiii kumekucha!!!BK bado sana Mkuu ukiilinganisha na Moshi.............Moshi inaweza kujitawala kama free state na mambo yakawa shwari lakini siyo BK.
We hamka usingiziniiiiiii kumekucha!!!