nshomile buana....mna matatizo sana ninyi watu!Hii ni bukobakaitaba stadium mjini kati bukoba rc cathedral miembeni bukoba kuelekea ziwani kwa mbali msira island view from kashura
Mi naona bukoba
Usinidanganye mkuu, nimekaa Kagera na nimekunywa maziwa ya Kyaka (mtindi) pamoja na Ndizi fulani tamu zilizochomwa (Gonja). Usijitoe ufahamuJina tu mbona dar kuna sehemu inaitwa kagera
Hapo majengo ya nini hayo hayana kazi hizo ni hotel tumia facts na picha sio poroja tu kiswahili
Shida hela huna smart hotel,victorious, prince motel,lake view,Stella hotel,kolping,transit,walkguard,perfect,yassira,nk nkPicha za Nin babu ,kwa aliefika kwa ajili ya kutembea tu hawezi kuambiwa Picha mana sikuona kitu .nimeenda bukoba nkazunguka mwisho nkaishia coffee Na li coffee lenyewe naskia lilikua Jengo la ushirika sasa ndo wakaamua Fanya hotel ,nlilala hapo cuz of wifi only Ila Sio pazuri but Ni afadhali kuliko sehem nyingine yeyote kwa bk.
Zitaje hizo bank za BK
Club ni nyingi sana hukupata Wa kukutembeza kwanza oksjen ilishafungwa siku hizi kuna sky motel,rwabizi,cassanova,liquid nk shida hamkubali mpaka mnaanza sema uongo bk inaizidi moshii.beach ukwenda bunena na kabuwara nadhani mliogopa milimaZote hizo nazifahamu,Kama kiroyera ndo Naeza sema iko juu zaidi but pia Haina jipya !kuna camping site hapo Na iko ovyo tu ,nliona kijukwaa Kama cha stage ya maharusi kimeinamia ziwani juu wakisimama watu wa Tatu wa nguvu wanaeza zama nacho .then kwa ujumla bk Kama Ni Mgeni chakula Ni shida ,kuna Ki Mgahawa nliingia nkakuta kijana anaeosha sa hani Na kudeki kaliwa funza miguuni Na kavaa nguo ambazo zilikua hazijafuliwa mwezi.
Na mgahawa huo ndo nliambiwa ndo mkubwa.jioni ilipofika nkataka kwenda club ,nkapelekwa sehemu inaitwa oxygen duuuhh humo Ndani Ni carbon dioxide Na Giza balaa .alafu Ni nyumba ya NHC,nkakataa nkapelekwa liners.huko nako ilikua balaa
Kimsingi Moshi imegalagazwa na Bukoba, hilo liko wazi. Moshi ni ndefu imefuata barabara tu kiurefu haiko kimpangilio kama huo wa Bukoba, uzuri nimefika Moshi ila sijafika Bukoba, ila kwa picha hizo alizoweka mdau, bukoba pako vizuri,na sababu iko wazi, wachaga wengi waliofanikiwa kimaisha wamejenga wilayani na vijijini kwao, hivyo kwa hali ya wilaya au vijiji vya Moshi ni vizuri kuliko vijiji vingi vya Tanzania. Wangejenga sana mjini Moshi basi hata Arusha ingezidiwa.
Ujue bro issue ilokuja hapa mchaga na mhaya ni kama maji na mafuta kila mmoja ni mjuaji na mbishi kwo kumpata winner ni ngumu labda tuwaulize watu kuja tunshomile buana....mna matatizo sana ninyi watu!
Picha za Nin babu ,kwa aliefika kwa ajili ya kutembea tu hawezi kuambiwa Picha mana sikuona kitu .nimeenda bukoba nkazunguka mwisho nkaishia coffee Na li coffee lenyewe naskia lilikua Jengo la ushirika sasa ndo wakaamua Fanya hotel ,nlilala hapo cuz of wifi only Ila Sio pazuri but Ni afadhali kuliko sehem nyingine yeyote kwa bk.
mimi najua wote wanapenda sana kula ndizi....lolUjue bro issue ilokuja hapa mchaga na mhaya ni kama maji na mafuta kila mmoja ni mjuaji na mbishi kwo kumpata winner ni ngumu labda tuwaulize watu kuja tu
Mchaga anaijua pesa lakini si mtumiaji na mhaya anaijua pesa pia ni mtumiaji.
Ni sehemu gani nimesema BK pabaya? Au uliona ni rahisi kutudanganya eeh?Halafu bk pabaya eti achana na bk
Mkuu umekosea kuniquote mimi, nimemuuliza hilo swali mleta madaNyambafu Moshi Ziko bank kibao,bk Ziko bank Tatu ka Sio nne ,hapa miembeni kuna NBC,NmB iko huku karibia Na central Na crdb pia Yani ovyo tu kanisa ambalo Ni Kubwa linatazamana Na polisi sasa urban planning gani hiyo
We jamaa liongo sana, utawafanya watu wapachukie Bukoba siku wakifika wakikuta unayaongopa hapa hayapo.Una uhakika na usemalo hotel hii IPO barabara ya kwenda maruku km 5 kutoka katikati ya mji we wap labda kama za fanana
Ngoja tuone competition hiyo.Sio kwamba mie ni mzaliwa Wa bkb Bali mie nijuavyo bk inaizidi moshi ndoo maana nimeweka za bukoba na moshi walete zao.Mimi ni mzaliwa Wa jiji la mwanza ilemela milimani barabara ya maduka Tisa ila naipenda bk
Hebu tuchambue sasa kwa mahitaji ya kijamii Kama shule hospitali Barbara na huduma ya maji ..Ngoja tuone competition hiyo.
Kitu gani hakipo hapo???? Kaskazini sifa tuWe jamaa liongo sana, utawafanya watu wapachukie Bukoba siku wakifika wakikuta unayaongopa hapa hayapo.
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BringBaCkBenAlive[/HASHTAG]
[HASHTAG]#PumzikaKwaAmaniDenaAmsi[/HASHTAG]