Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Hii inaonesha kabisa kuwa mengine yote mnayosema Moshi hayapo! Kama picha za vyuo zimepatikana na ni original from the source zikiwa na picha za vibao vya vyuo, inaonesha kabisa hayo mengine hayapo na ndo maana hayaletwi picha zake na zikiletwa ni za mtandaoni hazina hata caption au vibao vya location.

Kwa vyuo nakubali. Sasa nataka na picha za hivyo vingine mnavyovisema. Najua nimewashika pabaya ila tuvumilane ndugu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wewe wakati wenzio wanapiga picha za raia wahaya huko vijijini, wewe unapiga picha za appartments za wawekezaji zinazokaliwa na wageni kwa kulipia?? Looser kabisa. Eti huyu nae ni mchaga anaelewa kinachofanyika hapa jamani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaelewa bado huu mjadala kuhusu Kagera na Kilimanjaro unahusu nini hasa, kwani Tanzania sio nchi moja?
 
Namuwekea na station ya Kigoma ya miaka hiyo hapa. Alafu aseme kama ndio stend ya mabasi ya Kigoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaitaba noma sana. Pitch yake kama mbele aisee. Sema yamebaki majukwaa. Yakiwekwa majukwaa ya ukweli hawa wachaga wakija kuangalia mechi watajificha Bukoba wabaki huku huku


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo shule za Tanga, Lindi, Kigoma n.k hazina play grounds? Hebu eleza kukosa uwanja wa maana hapo Moshi na sio unatuletea habari za viwanja vya shule vya kufanyia mazingaombwe ya wanafunzi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuja mdogo mdogo kamanda wangu. Mbona mchezo mdogo sana!? Mi sitafuti mahoteli kuyapiga picha kama wao. Na deal na kijijini tu! Watatafutana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani wa kulaumiwa?
Target kubwa kipindi hicho lilikuwa ni kukuza utalii,hivyo miundimbinu hiyo iyajengwa mahususi kwa ajili hiyo.
Kwa mfano Wakoloni walijenga miundombinu si kwa ajili ya waafrika,ilikuwa kwa manufaa yao.
Miundombinu mingi ilijengwa palipo kwenye manufaa,ndio maana mjini wa Moshi unaonekana ulivyo katika picha (miaka kumi baada ya Uhuru) .
Ndio maana utaona kuna Mzungu anakatiza mitaani,(pembezoni mwa barabara).
Hata Leo wazungu wanaotembelea Mlima Kilimanjaro ni tofauti na wazungu wa Missionary wanaotembelea Kagera.
Nina hakika masuala ya ukanda,ukabila na majisifu miongini mwa watanzania yataisha siku si nyingi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…