Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
1_nilidhani utabisha kuwa mkoa nzima wa kagera hamna jengo kama hilo la moshi
2_kuhusu wachaga na mpira
Unamfahamu leodgar tenga? Unamfahamu Christopher masawe?, Hata Sasa tuna mchezaji mmoja anachezea ligi ya Austria anaitwa lema
Vile vile ktk ligi kuu bara tuna wachezaj kadhaa mfano captain wa stand United masawe,kipa wa mwadui nk kiufupi nilikwambia Hakuna sekta utamkosa mchaga black jews
3_ kuhusu uwanja wa mpira uchagani
Sisi tunapiga hesabu bhana,eneo la kujenga uwanja tunajenga maghorofa yanazalisha na kupendezesha mji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie si ndio mlikuwa mnasema mamiti mbona nanyi mji wenu una umejaa miti.halafu mna uhaba WA picha hamna picha za mtaa picha no zilezile tena za Google

Sent using Jamii Forums mobile app
Unasemaje eti?
Check hapo chini eti Google Kwan Google inaondoa ukweli wa picha hizo ? Tulia Dawa ipenye mzee baba
Kagera nzima Hakuna jengo lá namna hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afu watu wengi mnashindwa kuelewa kagera ni mkoa uko mbali sana, kutoka dar kufika Bukoba inachukua siku 2 kutoka arusha mpaka Bk ni siku 2 .tunapita kwenye mapori ya kutisha, kagera imekutana na majanga kama vita,tetemeko, kuzama kwa meli, lakin pamoja na changamoto zote wahaya wapo kila sehemu japo tnakashifiwa na kutengwa , lakin tunawapeleka moto chini hata kama MTU hajasoma hawezi kubali pelekeshwa na boya yyt maana tunajikubali na tunajiamini .moshi kuna mlima Mrefu zaidi Africa kuna madini lakini hakuna cha ziada pale toun watu ni Wa kuhesabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo unataka kusema uwanja wa mpira hauna faida? Unajua ni mapato gani uwanja wa kaitaba unapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo unataka kusema uwanja wa mpira hauna faida? Unajua ni mapato gani uwanja wa kaitaba unapata

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba hakuna shule yoyote katika mkoa wa Kilimanjaro usiokuwa na zile playground hapo nikuweke sawa na kama siyo zile umiseta na utashuta kuondolewa na mambo mengine ya kinafiki wa FAT ya ndolanga na wenzake kujenga mazingira kupata vipaji katika michezo nadhani ktk soka wachagga wangejaa maana tungeuzika ulaya ila haiko kifursa ubabaishaji tu umebakia natamani hata katiba ya TFF ifanyiwe marekebisho maana bado naona leordger tenga arudi kuliongoza maana ni raisi bora katika shirikisho la mpira wa miguu tanzania#

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo playgrounds za shule ndo unalinganisha na uwanja maarufu wa kaitaba? Kumbuka uwanja wa kaitaba ndo wa tatu Tanzania Kwa ubora.baada ya taifa ni Azam complex then kaitaba.kumbuka na timu ya kagera sugar ina uwanja wake uko misenyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili kanisa kama la kijijini kwetu huko Ruzinga, Kiziba, Misenyi. Ntawaletea picha nikienda! Alafu eti ndo Cathedral ya Moshi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…