Bujibuji umekumbwa na nini?

Bujibuji umekumbwa na nini?

unafikiri ndio itabadilisha kitu!!!

Wewe humjui Bujibuji vizuri, sasa hivi yupo kwenye harakati za kukuwinda kenye ile barabara unayopitaga.

Subiri kung'olewa kucha kutoka kwa wang'oaji kucha maarufu hapa mjini.

CC:Kwa wang'oa kucha maarufu hapa mjini Elli, Safari_ni_Safari, MANI, Amavubi bila kumsahau kinara wao sosoliso.
Hapo ndo utakapo amini kwamba Soso anapenda sana pesa kuliko hata wewe.
 
Last edited by a moderator:

Miye tena?
 
khaaaa waje tu.......manake kucha zenyewe ni za kichina! waking'oa mie nabandika zingine - improved quality!
 
Wewe humjui Bujibuji vizuri, sasa hivi yupo kwenye harakati za kukuwinda kenye ile barabara unayopitaga.

Subiri kung'olewa kucha kutoka kwa wang'oaji kucha maarufu hapa mjini.

CC:Kwa wang'oa kucha maarufu hapa mjini Elli, Safari_ni_Safari, MANI, Amavubi bila kumsahau kinara wao sosoliso.
Hapo ndo utakapo amini kwamba Soso anapenda sana pesa kuliko hata wewe.

Katika vitu vinavyonifanya nimpende Paloma ni kucha zake.. Sasa nitang'oaje kucha ninazozipenda wewe saudari..?
 
Last edited by a moderator:
hahahahahaaaa Mpwa wewe mchokozi sijapata ojna, hebu niachie dadangu Paloma tukale zetu majimbi na Mapeasi Lushoto kwetu sie
Wewe humjui Bujibuji vizuri, sasa hivi yupo kwenye harakati za kukuwinda kenye ile barabara unayopitaga.

Subiri kung'olewa kucha kutoka kwa wang'oaji kucha maarufu hapa mjini.

CC:Kwa wang'oa kucha maarufu hapa mjini Elli, Safari_ni_Safari, MANI, Amavubi bila kumsahau kinara wao sosoliso.
Hapo ndo utakapo amini kwamba Soso anapenda sana pesa kuliko hata wewe.
 
Last edited by a moderator:
"MwaJ kamwambia atoe nje godoro alilokojolea, eti ndo analia kwa aibu!!!!".By Paloma.

saudari unamtafuta nini my wife wangu mwaJ? au Bujibuji ndiye kakutuma umsaidie kumfanyia zengwe my wife wangu ili tukwaruzane ili mridhike na roho zenu? kama ndivyo andikeni maumivu mapema kabisaaaaaa.
 
Last edited by a moderator:
SI YANGU! Ni yako mwenyewe na sambi sako mwenyewe kwa kunisingizia! Eti mwaJ lini uliniambiaga hayo maneno?
Paloma mahali akishakuwepo saudari tu mie hukaa mbali napo maana ni mchonganishi sijapata kuona! Mie sisemi kitu na hilo swali nikilijibu tu utaona atakavyoleta uongo kutuchonganisha.
 
Last edited by a moderator:
mwaJ, sasa kwa nini ulimkomalia mwendhio atoe godoro nje, na uliona kabisa mnakaa USWAZI, ulitaka kuandika habari gani??
We we weee! Sie hatuishi uswazi! Bujibuji ni jirani yangu sasa huo umbea wa kutoa godoro nje sijui mmeutoa wapi?
 
Sasa ni kupiga tuuu!!

Mizengo Pinda
Mizengo PIGA
:spider:
Liwalo na liwe....... haya ni maneno ambayo Dr. Ulimboka hataki kabisa kuyasikia,
Chezea mtoto wa mtengeneza radi wewe??
Lile lisura lake libaya linaonyesha ndani ya moyo wake kilichojaa, yaani ni mabundi, majoka, na mapaka shume
 
saudari unamtafuta nini my wife wangu mwaJ? au Bujibuji ndiye kakutuma umsaidie kumfanyia zengwe my wife wangu ili tukwaruzane ili mridhike na roho zenu? kama ndivyo andikeni maumivu mapema kabisaaaaaa.
Unataka nikupe nikuletee PM ambazo mwaJ wako alimtumia Paloma?

hahahahahaaaa Mpwa wewe mchokozi sijapata ojna, hebu niachie dadangu Paloma tukale zetu majimbi na Mapeasi Lushoto kwetu sie
Na wewe Mpwa wangu unataka ukatae kazi kisa sosoliso kakuahidi kukujengea nyumba Masaki? Sasa namimi nakuahidi kukujengea Jirani na Ikulu. Tena gorofa zakutosha yaani ukikaa gorofani kwako unamuona Dhaifu akicheza na mkewe.

Kwasasa nimeshatuma Lorry zakutosha SITE.

Mpwa saudari mchokozi ataacha watu watuogope
Nani akuogope wewe, mtu na kazi yako? Acha uoga MANI.
Hii ndo kazi ya mwisho halafu kila mmoja anaangalia ustaarabu wake.

Paloma mahali akishakuwepo saudari tu mie hukaa mbali napo maana ni mchonganishi sijapata kuona! Mie sisemi kitu na hilo swali nikilijibu tu utaona atakavyoleta uongo kutuchonganisha.
Kwahiyo unataka kuniambia na mimi ni "weka mbali nabinadamu?"
 
Back
Top Bottom