Bujibuji umekumbwa na nini?

Bujibuji umekumbwa na nini?

Ungemwona sosoliso je?
crying-man2-290x290.jpg
mdomo kama huu unaweza kumeza hata mtoto mdogo!!
 
Last edited by a moderator:
Halafu wewe Safari_ni_Safari yaani ulinipiga picha kweli..? Yaani mie niko busy hapo na machungu ya kufiwa na mkwe wangu.. Utanifanya nilie tena babe Paloma plz kams zis way.. Najicikia vbaya mzaa chema mkubwa kutangulia kabla hajamuona mjukuu wake..

Pole babe sosoliso, sasa utaniliza jamani mwenzio bado mbiiiichi!!!

Sasa ndo inabidi ukazane..................
 
Last edited by a moderator:
Amemfuma mkewe anagawa lol pop kwa kigogo maarufu sana hapa Tz! Pole mwaya Bujibuji. Nakupa dedication ya Wimbo wa Dulayo "Hawalali" ukutuliuze popote pale ulipo!
 
hahahaa kuna ubaya kusifia kitu cha mtu wajameni?!?!? sijatamani kumbuka!!

anyway, wee saudari unadhani bila kuchakachua tungeweza kufungua sekyuriti kampani?!?!?!

Kwani nimesema umemtamani? Ukiona mtu anaanza kujishuku ujue ni kweli.

Hilo ni swali la mtego tu, nilikua najaribu kukuangalia ni jinsi gani utakavyoreact.
 
Back
Top Bottom