Haripoti hayo kwa vile si muhimu na hayana tija. Mkutano wa siasa wa Zaidi ya saa 6 kwenye luninga huripotiwa kwa wastani wa dakika 3 hadi sita (kutegemea na uzito wa habari yenyewe).
Yule mwandishi wa ITV kule Mtwara na Dodoma (Mtama) na mwariri walifanya vyema sana kwa kuonyesha kukataliwa kwa mbunge na mpasuko huko Mtama, je taarifa ile ilichukua muda gani vile? ITV onyesheni nyeupe na nyeusi, si kuwalaghai wasiokuwa field. Hii itafanya watu kuelewa ukweli halisi hata akishindwa wasishangae.