Dr wa ukweli
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 900
- 274
kashapata ulaji ikuluMagufuli si kiongozi wa mtu kujikomba kwake. Hana rafiki huyu. Hana utawala wa jikoni, kama huyo Buhohela na wengine wa aina hiyo wanadhani wakijikomba watapata vyeo, wajue huyo atakuwa siyo Magufuli. Hana urafiki wa kinafiki wala wa tumbo. Tusubiri!