Buhohela analipwa na ITV, Magufuli au CCM?

Buhohela analipwa na ITV, Magufuli au CCM?

Toa mfano wa anachopotosha kama mwenzio kalalamika na kutoa mfano.

Haya unayasoma?

Kilichonishangaza ni yule Jamaa aliyerudisha kadi ni wa Tukuyu lakini video za magufuri zinaoneshwa za Njombe na nilikuwepo wakati anarudisha halafu baada ya kusoma taarifa za kila mahali anaunganisha maeneo halafu anageneralize maeneo sio poa kabisa
 
Binafsi huyu Buhohela ananikera ngoja nimvutie pumzi nimwache kwa leo.
 
Acha ujinga, katika waandishi ambao wanafuata weledi wa taaluma yao ni huyu jamaa. Yuko vizuri na hatuna shaka nae hata kidogo. Na tena ametusaidia sana wapinzani kwenye hoja nyingi sana. Na ambazo zimesaidia kunyanyua imani kwa wananchi kuhusu upinzani.
Sasa kama unasem hivyo, vipi Alfred Masako.mbona yeye anajulikana kabisa ni ukawa! Na leo alikuwa jangwani kama reporter wa ITV?.

Reinfred Masako aliwahi kugombea ubunge Iringa kupitia CCM.Get your facts correct
 
Ni vizuri ukitupa mifano sio hisia ili tusaidiane kurekebisha hili ili kupata habari za ukweli.
Umeangalia jana alivyoripoti ufunguzi wa UKAWA Jangwani na hotuba aliyoitoa Lowassa. Linganisha ripoti hiyo na yale aliyoyasema Lowassa utajua niliyoyasdma hapo. Lakiji pia hata Jamila Omari wa Channel 10 alifanya hivyo hivyo.
 
Buhohela alianza kuvimba kichwa toka akabidhiwe kipind cha dkk 45..aliruhusu rupia ipite ndio chanzo cha kupotoka

Kmbuka huko kwenye kampen za ccm anashinda na watu wabaya kna mwgulu na nape
 
Ujue wewe ni ziro kama sumaye wewe unaangalia TV mwenzako yupo na mgombea field nani anayeona kwa karibu.

Wewe ni memba wa siku nyingi hapa JF, lakini bahati mbaya uwezo wako wa kuelewa uko chini sana sijui ni kwa makusudi au ni maumbile!
 
Binafsi huyu Buhohela ananikera ngoja nimvutie pumzi nimwache kwa leo.

Hapana usimchukie hata kama ana itikadi tofauti na yako. Uzi huu uko kwenye msimamo wa kuwa kama Chakaza ni ripota na moyoni mwake Chadema imemkaa basi atenganishe mahaba yake na chama dhidi ya kazi basi.
Asiripoti kitu tofauti na hali halisi kwa matashi ya moyo wake. Kwa kufanya hivyo anakiuka maadili ya kazi yake na mwajiri anayo haki ya kumbadilishia shughuli akajikuta kila siku anakwenda kuripoti habari za waganga wa kienyeji na ramli tuu.
 
Last edited by a moderator:
Nimekufatilia namna yako ya kuripoti shughuli uliyo kuwa assigned yaani msafara wa mgombea wa CCM na kugundua unachofanya sio sahihi kulingana na maadili ya kazi yako na heshima ya kituo unachowakilisha.
Unatia chumvi sana na kudanganya wazi nahisi unapata malipo ya ziada toka mahali na hiyo ni rushwa.

Nikupe mfano mmoja, Leo Magufuli alikuwa na tatizo la sauti, hiyo ni kawaida kutokana na mikutano mingi na kutumia nguvu kubwa jukwaani. Lakini ulivyo muongo na bila aibu ukawaambia watazamaji eti kuna jambo anasisitiza kwa sauti ya upole kuonyesha msisitizo wa jambo!

Huo ni uongo, sauti imekauka na una tabia ya kuongeza maneno yako hata kama hayajasemwa. Tutaondoa imani kwa ITV kama ripota wao wanaanza tabia za kutiliwa shaka kujihusisha na rushwa. Nakumbuka hata kipindi cha Dakika 45 kulianza kuwepo hisia chafu dhidi yako.

Jirekebishe

Nilidhan mm tu ndo niliona hilo mkuu
 
Kukosea siku moja mnajadili mbona TBC walisema Magufuli ni mzima kabisa hamjasema?acheni hizo tabia za kujadili watu
 
Nimekuwa nikifuatilia habari za ITV mara kwa mara nahasa kipindi hichi cha kampeni.

ITV imejitahidi sana kuonesha habari zisizo egemea upande wowote tofauti na vituo kama TBC, Clouds TV, na Star TV.

Kinachonisikitisha ni huyu Buhohela ambaye anataka kuitia doa ITV kwani anaripoti mazuri tu mfano wananchi kusimamisha msafara wa Magufuri ili wamuelezee matatizo yao lakini mabaya yanayotokea hayasemi. mfano Magufuri akiwa Mbeya mjini alilakiwa na vijana mamia kwa mamia wakimzomea na kumuonesha alama ya vidole viwili alama inayotumiwa na chadema lakini Buhohela hakuripoti tukio hili. Hari kama hii imejirudia wakati Magufuli akiwa Tunduma na jana tena Morogoro lakini bado Buhohela hajaripoti.

Nawaomba ITV (Independent TeleVision) mlifanyie kazi hili. chombo chenu ni cha binafsi na sio cha chama au serikali kiasi mripoti mazuri tu muache mabaya.
 
Amekula nakunywa mlungula huyo anataka kazi TBCCM
 
Mods tafadhali msiunganishe uzi wangu huu na uzi mwingine.

Nimekuwa nikifuatilia habari za ITV mara kwa mara nahasa kipindi hichi cha kampeni.
ITV imejitahidi sana kuonesha habari zisizo egemea upande wowote tofauti na vituo kama TBC, Clouds TV, na Star TV.
Kinachonisikitisha ni huyu Buhohela ambaye anataka kuitia doa ITV kwani anaripoti mazuri tu mfano wananchi kusimamisha msafara wa Magufuri ili wamuelezee matatizo yao lakini mabaya yanayotokea hayasemi. mfano Magufuri akiwa Mbeya mjini alilakiwa na vijana mamia kwa mamia wakimzomea na kumuonesha alama ya vidole viwili alama inayotumiwa na chadema lakini Buhohela hakuripoti tukio hili. Hari kama hii imejirudia wakati Magufuli akiwa Tunduma na jana tena Morogoro lakini bado Buhohela hajaripoti.
Nawaomba ITV (Independent TeleVision) mlifanyie kazi hili. chombo chenu ni cha binafsi na sio cha chama au serikali.
kwa hiyo bavicha mlipanga vijana kumzomea magufuli ili ionyeshwe ITV ili iweje halafu?:bange:
 
Buhohela anazunguka na basi la magufuri unategemea ataweka mabaya wakati ndio wakati wake wa kumeke m.....
 
Ana muonea huruma Magufuli asije akafa kwa Bp kabla tarehe 25 siku ya kifo chake na CCM haijafika.
 
Mods tafadhali msiunganishe uzi wangu huu na uzi mwingine.

Nimekuwa nikifuatilia habari za ITV mara kwa mara nahasa kipindi hichi cha kampeni.
ITV imejitahidi sana kuonesha habari zisizo egemea upande wowote tofauti na vituo kama TBC, Clouds TV, na Star TV.
Kinachonisikitisha ni huyu Buhohela ambaye anataka kuitia doa ITV kwani anaripoti mazuri tu mfano wananchi kusimamisha msafara wa Magufuri ili wamuelezee matatizo yao lakini mabaya yanayotokea hayasemi. mfano Magufuri akiwa Mbeya mjini alilakiwa na vijana mamia kwa mamia wakimzomea na kumuonesha alama ya vidole viwili alama inayotumiwa na chadema lakini Buhohela hakuripoti tukio hili. Hari kama hii imejirudia wakati Magufuli akiwa Tunduma na jana tena Morogoro lakini bado Buhohela hajaripoti.
Nawaomba ITV (Independent TeleVision) mlifanyie kazi hili. chombo chenu ni cha binafsi na sio cha chama au serikali.

hiyo ndo political strategy mkuu,unachotakiwa kufanya kuonesha mazuri tu ya upande wako na mabaya ya upande wa pili,na kingine ujue huyo muandishi analipwa na CCM kama part ya mwana kampeni mwenzao,so ni sawa kabisa,
ILA FAINALI NI OCTOBER 25,NDO TUTAJUA KAMA HIYO STRATEGY IMEFANYA KAZI
 
Back
Top Bottom