Jimmy Kadebedebe
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 468
- 191
kwa hiyo bavicha mlipanga vijana kumzomea magufuli ili ionyeshwe ITV ili iweje halafu?:bange:
Kwann asifiwe tu wakati anazomewa pia????? hayo ni maajabu ya mwaka 2015 ccm kuzomewa.
kwa hiyo bavicha mlipanga vijana kumzomea magufuli ili ionyeshwe ITV ili iweje halafu?:bange:
Mods tafadhali msiunganishe uzi wangu huu na uzi mwingine.
Nimekuwa nikifuatilia habari za ITV mara kwa mara nahasa kipindi hichi cha kampeni.
ITV imejitahidi sana kuonesha habari zisizo egemea upande wowote tofauti na vituo kama TBC, Clouds TV, na Star TV.
Kinachonisikitisha ni huyu Buhohela ambaye anataka kuitia doa ITV kwani anaripoti mazuri tu mfano wananchi kusimamisha msafara wa Magufuri ili wamuelezee matatizo yao lakini mabaya yanayotokea hayasemi. mfano Magufuri akiwa Mbeya mjini alilakiwa na vijana mamia kwa mamia wakimzomea na kumuonesha alama ya vidole viwili alama inayotumiwa na chadema lakini Buhohela hakuripoti tukio hili. Hari kama hii imejirudia wakati Magufuli akiwa Tunduma na jana tena Morogoro lakini bado Buhohela hajaripoti.
Nawaomba ITV (Independent TeleVision) mlifanyie kazi hili. chombo chenu ni cha binafsi na sio cha chama au serikali kiasi mripoti mazuri tu muache mabaya.

Buhohela toka awe C.O wa dkk 45
Amevimba kichwa sana..ila uzur yule mama mkurugenz wa itv hanaga utani usishangae buhohela akapoteza kibarua kwa kuweka nyuma taaluma yake
Nasikia aling'ang'ania root ya mqguful maana kule mapesa ni nje nje
Jamani Asraj Mvungi anafanya hivyo hivyo, mbona hamsemi haya. Kuweni fair katika maoni yenu. Hawa ni waandishi walioteulowa na kituo kuripoti kampeni kwa kila upande, waacheni watende kiweledi bila kuleta mifarakanoNimekuwa nikifuatilia habari za ITV mara kwa mara nahasa kipindi hichi cha kampeni.
ITV imejitahidi sana kuonesha habari zisizo egemea upande wowote tofauti na vituo kama TBC, Clouds TV, na Star TV.
Kinachonisikitisha ni huyu Buhohela ambaye anataka kuitia doa ITV kwani anaripoti mazuri tu mfano wananchi kusimamisha msafara wa Magufuri ili wamuelezee matatizo yao lakini mabaya yanayotokea hayasemi. mfano Magufuri akiwa Mbeya mjini alilakiwa na vijana mamia kwa mamia wakimzomea na kumuonesha alama ya vidole viwili alama inayotumiwa na chadema lakini Buhohela hakuripoti tukio hili. Hari kama hii imejirudia wakati Magufuli akiwa Tunduma na jana tena Morogoro lakini bado Buhohela hajaripoti.
Nawaomba ITV (Independent TeleVision) mlifanyie kazi hili. chombo chenu ni cha binafsi na sio cha chama au serikali kiasi mripoti mazuri tu muache mabaya.
Nimekuwa nikifuatilia habari za ITV mara kwa mara nahasa kipindi hichi cha kampeni.
ITV imejitahidi sana kuonesha habari zisizo egemea upande wowote tofauti na vituo kama TBC, Clouds TV, na Star TV.
Kinachonisikitisha ni huyu Buhohela ambaye anataka kuitia doa ITV kwani anaripoti mazuri tu mfano wananchi kusimamisha msafara wa Magufuri ili wamuelezee matatizo yao lakini mabaya yanayotokea hayasemi. mfano Magufuri akiwa Mbeya mjini alilakiwa na vijana mamia kwa mamia wakimzomea na kumuonesha alama ya vidole viwili alama inayotumiwa na chadema lakini Buhohela hakuripoti tukio hili. Hari kama hii imejirudia wakati Magufuli akiwa Tunduma na jana tena Morogoro lakini bado Buhohela hajaripoti.
Nawaomba ITV (Independent TeleVision) mlifanyie kazi hili. chombo chenu ni cha binafsi na sio cha chama au serikali kiasi mripoti mazuri tu muache mabaya.
Nimekuwa nikifuatilia habari za ITV mara kwa mara nahasa kipindi hichi cha kampeni.
ITV imejitahidi sana kuonesha habari zisizo egemea upande wowote tofauti na vituo kama TBC, Clouds TV, na Star TV.
Kinachonisikitisha ni huyu Buhohela ambaye anataka kuitia doa ITV kwani anaripoti mazuri tu mfano wananchi kusimamisha msafara wa Magufuri ili wamuelezee matatizo yao lakini mabaya yanayotokea hayasemi. mfano Magufuri akiwa Mbeya mjini alilakiwa na vijana mamia kwa mamia wakimzomea na kumuonesha alama ya vidole viwili alama inayotumiwa na chadema lakini Buhohela hakuripoti tukio hili. Hari kama hii imejirudia wakati Magufuli akiwa Tunduma na jana tena Morogoro lakini bado Buhohela hajaripoti.
Nawaomba ITV (Independent TeleVision) mlifanyie kazi hili. chombo chenu ni cha binafsi na sio cha chama au serikali kiasi mripoti mazuri tu muache mabaya.
Nimekuwa nikifuatilia habari za ITV mara kwa mara nahasa kipindi hichi cha kampeni.
ITV imejitahidi sana kuonesha habari zisizo egemea upande wowote tofauti na vituo kama TBC, Clouds TV, na Star TV.
Kinachonisikitisha ni huyu Buhohela ambaye anataka kuitia doa ITV kwani anaripoti mazuri tu mfano wananchi kusimamisha msafara wa Magufuri ili wamuelezee matatizo yao lakini mabaya yanayotokea hayasemi. mfano Magufuri akiwa Mbeya mjini alilakiwa na vijana mamia kwa mamia wakimzomea na kumuonesha alama ya vidole viwili alama inayotumiwa na chadema lakini Buhohela hakuripoti tukio hili. Hari kama hii imejirudia wakati Magufuli akiwa Tunduma na jana tena Morogoro lakini bado Buhohela hajaripoti.
Nawaomba ITV (Independent TeleVision) mlifanyie kazi hili. chombo chenu ni cha binafsi na sio cha chama au serikali kiasi mripoti mazuri tu muache mabaya.
Ni Roga Roga Huyu Huyu Ninaemfahamu au? Mbeya Hawajambo? Haya Maswali Yako Na Mapenzi Yako Ya UKAWA Ofisini Kwako IDARANI Wanajua? RSO Wako Wa Mbeya Na Wakuu Wako Wa Oysterbay Makao Makuu Nyuma Ya Dstv Wanajua? Nakuonea Huruma Sana Mkuu.