Buhohela analipwa na ITV, Magufuli au CCM?

Buhohela analipwa na ITV, Magufuli au CCM?

Anajua kuwa anafanya unafiki ingawa unamlipa.
 
jana kidogo wamejitahidi kutengeneza mafuriko na wengine mpaka leo walikwepo pale uwanja wa furahisha kusubiri usafiri wa kurudi, japo hajamfikia Lowasa kwa hyo kuvunja recodi ni kudanganya umma

Leo buhohela umedanganya sana....
 
jana kidogo wamejitahidi kutengeneza mafuriko na wengine mpaka leo walikwepo pale uwanja wa furahisha kusubiri usafiri wa kurudi, japo hajamfikia Lowasa kwa hyo kuvunja recodi ni kudanganya umma

Leo buhohela umedanganya sana....

anatumia nguvu kudesa...
 
Wanaiga kila kitu... CCM inawaiga Chadema/UKAWA...
Magufuli anamwiga Lowassa
Buhohela anamwiga Spencer
 
Wewe umerogwa nini wale anaojaza magufuli siyo watu,jaman mbona ushabiki unatuomdolea uhalisia,ama rushwa zinatuwasha,heko buhohela unafanya kazi nzuri sana
 
UKAWA Achen kujifariji na kujificha kwenye shamba la karanga,magufuli si.saizi ya lowassa tuwe wa kweli labda angesimamishwa dhaifu hapa mmenoa
 
siku ya jmosi barabra za airport zilikuwa nyeupe na wazi tukiasi hakuna sababu ya magari kuwa na foreni, lakin chaajabu mama mmoja trafic aliyazuia magari kwa makusudi pind pombe alipoanza kuhutubia mpaka alipomaliza mida ya saa 11:40 jion

tofauti ni kwamba kwa magufuli trafic walizuia magari ili ionekane kuwa watu walijaa hata njia ikakosekana: kwa Lowassa watu ndo walijaa barabaran kiasi kwamba magari hayakuwa na namna isipokuwa kusimama tu takribani masaa yote ya mkutano: na hii ndiyo Mza ccm watajishangaa sana matokeo yatakapoanza kutolewa maana mpaka jana kundi la watu lilikuwa linasubiri kurudidishwa walikotolewa bahati mbaya sana hawakujua kuwa jpili mkuuccm mkoa hafanyagi kazi; walibaki wanapata kinywaji na ugali..
 
Tatizo la watangazaji wengi wa vyombo vyeti vya habari ni makanjanja. Ndiyo maana leo hii tunashuhudia ripoti za ajabu ajabu kama vile mtua anayetipoti kaokotwa barabarani.

Ripota aliyesomea taaluma ya uandishi wa habari na kuelewa maadili ya uandishi kamwe hawezi kusema "mgombea fulani kipenzi cha wananchi... wakati hana uhakika wa anachokisema, au kusema "anazidi kuvunja rekodi katika sehemu fulani na fulani wakati hajawai kufanya utafiti wa hizo rekodi za wengine... utaturipotia ujinga unaotokana na mhemuko na mahaba kwa mgombea fulani.

Waandishi hawa ndo wanafanya vyombo vya habari vya hapo kutoweza kushindana ktk medani ya habari. Mfano mzuri angalia hapo Kenya, ripoti zao ziko tofauti sana na za hapa. Au angalia dira ya dunia ya BBC, utashangaa habari ileile ikiripotia na bbc inaonekana imeenda shule kuliko za tv zetu. Tatizo ukanjanja!
 
Mwamba ngoma huvutia kwake,nategemea sauti kubwa katika sanduku la kura hapo 25.10.2015.Haki na amani ndio mpango mzima.Mbinu chafu zitahatarisha amani ya nchi!!
 
anasema magufuli amekuwa kivutio kwa tanzania,basi angojee watalii kuja kumtalii huyo magufuli,anayeonekana kivutio,
 
Back
Top Bottom