MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,016
- 16,813
Wakuu, Emanuel Buholela ni mwanahabari wa ITV, akiripoti kampeni za Magufuli..
Ni kijana machachari mwahabarishaji, lakini leo nimemtolea point zangu nilipomsikia akitatangaza habari ya Magufuli kuvunja record Mwanza na sehemu nyinginezo za kanda ya ziwa!! Hii si kweli.
Mwitikio wa watu haupo kama wanavyosema.
Watu wa CCM bado kujaza.
kama martin buhohela anatumika vibaya vipi kwa spencer lameck nae wa itv lakini aliye upande wa lowassa?