Buhohela analipwa na ITV, Magufuli au CCM?

Pindi akiripoti habari za magufuli uonyesha watu wakisukumana kwenda mbele na kurudi nyuma huku magufuli akizungumza

UKWELI NI KWAMBA WATU USUKUKANA PINDI MSANII AKIANZA KUTUMBUKIZA MFANO ALLY KIBA ALIPO KUWA MOROGORO

Jiapange wewe repoter
Naomba kumtetea, kazi ya mwandishi ni kuripoti ukweli daima, kama mgombea anahutubia mkutano na Diamond kaalikwa ili kufanya uhamasishaji, then kaalikwa kwa ajili ya mkutano wa mgombea na chochote atakachokifanya, anakifanya kwa ajili ya mgombea!, na wakati Platinumz akiperform watu walishangilia na kupagawa, na baada ya kumaliza watu walijiondokea, na wakati mgombea akizungumza hakushangiliwa, na umati ulikuwa umebaki mdogo, wakati wa kuripoti, anachagua yaliyo positive tuu ndio unaripoti!, utamuonyesha mgombea na nyomi ya Daimondo, na utaonyesha ushangiliaji wa Daimondo ndio alimshangilia mgombea, kwa sababu hilo ndilo lengo la kumleta Daimondo!.

Hivyo Buhohela yuko very right, hiyo inaitwa positive publicity kwa lengo la kumjenga na sio kumbomoa!.

Pasco
 
Uchaguzi wa mwaka huu kweli naamini alichosema Kikwete kwamba CCM imejiandaa kwa kuhonga ili ishinde. Hapa ndio watanzania wana sema " Waache wacheze ngoma....Ikiisha " Sisi tunaondoka" Mnahonga Media, Mnahonga wasaani / wanamuziki.. Kumbukeni kwamba watanzania wanalijua hilo kwamba watu hao mnatumia watu hao ili wavutie na kukitakasa chama machoni na masikioni mwa Watanzania. Lakini kumbukeni kwamba mwisho wa siku wenye kura nyingi ni wale mnaowavuta kwa maneno na muziki na si wale mnao wahonga na kuwapatia fedha kwenye media na sanaa.
 
Mwaka huu mtatafuta sana wachawi!

Mgombea wenu hata kuongea vizuri hawezi achilia mbali kusimama kwenya jukwaa zaidi ya dakika 10.

Don't shoot the messenger...!
 
Pindi akiripoti habari za magufuli uonyesha watu wakisukumana kwenda mbele na kurudi nyuma huku magufuli akizungumza

UKWELI NI KWAMBA WATU USUKUKANA PINDI MSANII AKIANZA KUTUMBUKIZA MFANO ALLY KIBA ALIPO KUWA MOROGORO

Jiapange wewe repoter

U DC, ANATAKA UKUU WA WILAYA, Sk Hz Waandishi Wamekuwa Wakijipendekeza Kwa C.C.M Wakilenga Waje Wateuliwe Kuwa Wakuu Wa Wilaya, MF, YULE WA TBC ALIYEKUWA ANASOMA MAGAZETI NA KUACHA HABARI ZA UKAWA UNADHANI LENGO LAKE NINI? NI NJAA TU INAYOWASUMBUA.
 
tatizo hujauona huo mkutano usingempinga buhohela nami naongezea magufuli kila akitaka kumaliza mkutano wananchi wanataka aendelee jembe la ccm
 
Naomba kumtetea, kazi ya mwandishi ni kuripoti ukweli daima, kama mgombea anahutubia mkutano na Diamond kaalikwa ili kufanya uhamasishaji, then kaalikwa kwa ajili ya mkutano wa mgombea na chochote atakachokifanya, anakifanya kwa ajili ya mgombea!, na wakati Platinumz akiperform watu walishangilia na kupagawa, na baada ya kumaliza watu walijiondokea, na wakati mgombea akizungumza hakushangiliwa, na umati ulikuwa umebaki mdogo, wakati wa kuripoti, anachagua yaliyo positive tuu ndio unaripoti!, utamuonyesha mgombea na nyomi ya Daimondo, na utaonyesha ushangiliaji wa Daimondo ndio alimshangilia mgombea, kwa sababu hilo ndilo lengo la kumleta Daimondo!.

Hivyo Buhohela yuko very right, hiyo inaitwa positive publicity kwa lengo la kumjenga na sio kumbomoa!.

Pasco

Kweli huyu Jama ni shidaa!! CCM bila chachandu ya wasanii mpaka sasa hivi wangekuwa wamekataa tamaa.
 
U DC, ANATAKA UKUU WA WILAYA, Sk Hz Waandishi Wamekuwa Wakijipendekeza Kwa C.C.M Wakilenga Waje Wateuliwe Kuwa Wakuu Wa Wilaya, MF, YULE WA TBC ALIYEKUWA ANASOMA MAGAZETI NA KUACHA HABARI ZA UKAWA UNADHANI LENGO LAKE NINI? NI NJAA TU INAYOWASUMBUA.

Kweli njaa mbaya sana.
 
Wakuu, Emanuel Buholela ni mwanahabari wa ITV, akiripoti kampeni za Magufuli.

Ni kijana machachari mwahabarishaji, lakini leo nimemtolea point zangu nilipomsikia akitatangaza habari ya Magufuli kuvunja record Mwanza na sehemu nyinginezo za kanda ya ziwa!! Hii si kweli.
Mwitikio wa watu haupo kama wanavyosema.

Watu wa CCM bado kujaza.
 
Ukitazama uso wa Ema wakati anaripoti habari yake, unagundua kabisa..he is just looking for money.
 
Back
Top Bottom