Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,091
- 285,739
Lipumba sio mzima .Afadhali yule mmoja anatunza utu wake. Huyu alijitoa, leo bila haya anarudi kwa kutumwa. Ana bahati kwao Tabora uswahili unaruhusiwa, mambo hayo asifanyie Mara...atanyonyolewa yungali macho