Buguruni: Profesa Lipumba anaongea na Wanachama wa CUF muda huu

Buguruni: Profesa Lipumba anaongea na Wanachama wa CUF muda huu

Hakika ni dhahiri kuwa kamati ya kumfukuza lipumba imejisumbua tu maana prof. anasisitiza kuwa kazi iliyopo ni kuimarisha chama kwa kuhakikisha kila tawi lina bendera ya cuf na hawawezi kumfukuza mtu aliyetumikia chama kama mwenyekiti toka 1999. Tizama video hii kwa utamu zaidi.
 
Mkuu akasimamishe mawe labda..tushamalizana nae huyo hiki in chama jiwe,focus yetu ni namna yakushika dola sio proffeseriiiii,
 
Hii ni project sawa na ile ya wakati uleee NCCR Mageuzi.
 
Sijasikia tamko lolote baada ya maandamano yaliyofanywa na wanachama watiifu kwa Lipumba waliokuwa wakimsindikiza kwenye ofisi za CUF au nini kilitokea?
 
Hapa bongo upinzani bado sana maana hata wanaoonekana wanamwelekeo wa kuwa wapimzani wa kweli lupia ikipita chali,

Prof alisahau nini uko CUF !?...
Wanavuluga upinzani ili 2020 mkulu apite bila upinzani wa kweli?
 
Back
Top Bottom