Buguruni: Profesa Lipumba anaongea na Wanachama wa CUF muda huu

Hapa bongo upinzani bado sana maana hata wanaoonekana wanamwelekeo wa kuwa wapimzani wa kweli lupia ikipita chali,

Prof alisahau nini uko CUF !?...
Wanavuluga upinzani ili 2020 mkulu apite bila upinzani wa kweli?
Lipumba hana hasara maana hana familia. Mtu aliyeshindwa kushawishi mwanamke akaoa hawezi kuwa na ushawishi popote. Ndo maana hata huko Tabora kwao hakuwahi kukipa chama ubunge au Dar ambapo ni makao makuu ya chama. Mwenzie Slaa mwenye mke na baby amekimbilia Canada ale raha.
 
Kwa sasa habar inayotembea ni habar ya CUF. Kwa jinsi ninavyoona kuna watu huko mbeleni watakuja kujutia matendo yao ya sasa na watakua wamechelewa sana.

Kwa mfano kuna hawa wamejiita wadhamini wa CUF huku hawajatimiza akidi, na wengine ni wanachama wa kawaida ila wanajifanya ni wajumbe wa bodi . Siku watakapopelekana mahakamani na kujua mbivu na mbichi ndio watajua ubaya wa kutumika. Mahakamani sio kwa baba na mama!!! Kuna wakati hukumu inaweza toka huamini kama inakuhusu. Haya Sijui...!!!

Nije kwa Lipumba sina shaka naye maana yeye amekula parefu lakini aibu atakayovuna itakua kubwa sanaaa. Kwanini unavunja ofisi bila kukabidhiwa na mtu? Ofisini sio chooni ambako hukaa tundu na kopo la maji! Ataorodheshewa vitu visivyoonekana mpaka atashangaa.

Nawaonya mnaotafutwa kushikishwa pesa jiangalieni sana, huu mchezo utakuja kuwagharimu pakubwa kwenye vyombo vya kisheria.

Mahakama haina mjomba!!
 
Lipumbi ameahidiwa na CCM kuibomoa UKAWA. Akifanikiwa tu atakuwa tajiri mkubwa duniani zaidi ya Bill Gates.
 
Kwa sasa habar inayotembea ni habar ya CUF. Kwa jinsi ninavyoona kuna watu huko mbeleni watakuja kujutia matendo yao ya sasa na watakua wamechelewa sana.

Kwa mfano kuna hawa wamejiita wadhamini wa CUF huku hawajatimiza akidi, na wengine ni wanachama wa kawaida ila wanajifanya ni wajumbe wa bodi . Siku watakapopelekana mahakamani na kujua mbivu na mbichi ndio watajua ubaya wa kutumika. Mahakamani sio kwa baba na mama!!! Kuna wakati hukumu inaweza toka huamini kama inakuhusu. Haya Sijui...!!!

Nije kwa Lipumba sina shaka naye maana yeye amekula parefu lakini aibu atakayovuna itakua kubwa sanaaa. Kwanini unavunja ofisi bila kukabidhiwa na mtu? Ofisini sio chooni ambako hukaa tundu na kopo la maji! Ataorodheshewa vitu visivyoonekana mpaka atashangaa.

Nawaonya mnaotafutwa kushikishwa pesa jiangalieni sana, huu mchezo utakuja kuwagharimu pakubwa kwenye vyombo vya kisheria.

Mahakama haina mjomba!!
Umeondoa credibility ya uzi wako kwa kuwa biased, umeongelea "mabaya" yanayoweza tokea kwa lipumba, maana yake nini?? Upande wako ni seif na possibility kubwa seif sio upande wako bali wewe ni bavicha.
 
nadhani mmewaona wenye chama chao pichani!! hao wenye CUF yao hata siku moja hawawez kuwa na umoja na huyu mzee wa chini hapa
 
polisi wako wapi,watu wanavunja sharia kwa kufanya mikutano nje,lipumba ni hatari yaani miaka yote tunajua ni mpinzani kumbe ni mwanaccmnjia ya mwongo ni fupi,hela ni mbaya,mtu yuko radhi hata kujiuza kwa sababu ya pesa,pesa haichagui darasa la saba au profesa wote wanajiuza
 
Charles Hillary anaumuita Lipumba Mwenyekiti. Kwa kukaa BBC muda mrefu nilidhani amekua tofauti kidogo na wanabahari wetu wa Kibongo.

C.U.F. kuna mgogoro mkubwa, katika audience yako inayokusikiliza kwenye TV sio wote wanakubaliana kwamba Lipumba ni Mwenyekiti wa CUF. Alitakiwa asema Mwenyekiti anaetambuliwa na kundi moja la CUF au na msajili. Waachie TBC wamuite Lipumba Mwenyekiti kwa sababu anatambulika hivyo na bosi wao, serikali. Wewe Charles Hillary hauko state media.

Nafahamu kule B.B.C. idhaa ya Kiswahili walikuwa wanatafsiri tu ziliondikwa na waandishi wa kimataifa, hawaandiki wenyewe, naelewa, lakini miaka 10, ishirini nje, hujaambukizwa umahiri wa uandishi hata kidogo?
 
unahangaika kweli,kwa hyo mwenyekt nan..mtatiro?
 
Back
Top Bottom