Bugatti Chiron 1500 HP, Max speed 500 km/h!

Bugatti Chiron 1500 HP, Max speed 500 km/h!

Kuna watu wana hela jamani yaani nimesoma kuna mwarabu ni zillionare ametoa order za Chiron SITA kwa ajili ya familia yake imagine amelipa $15m
 
Kuna watu wana hela jamani yaani nimesoma kuna mwarabu ni zillionare ametoa order za Chiron SITA kwa ajili ya familia yake imagine amelipa $15m
the world is yet to witness the first trillionaire wewe mkuu unatuambia kuna zillionaire, uongo wa vijiwe vya kahawa
 
Mkuu hapa hatuna high way!,izi barabara zimejaa mashimo,matuta kibao!!,
Huko duniani high way ni mkeka mtupu!,ukiwa speed ndogo unaweza sababisha ajari!... Na Mara nyingi unaripia high way!!,mfano ikiwepo hapa me to Moro only 1hr
Dar to Moro ni km 194 tu kwa speed ya 500km/hr ni less than 30 minutes
 
Bugatti chiron baada ya Veron...daah hawa jamaa ni hatari yaani hata utengenezaji wa hii gari una ukaribu na utengenezaji wa ndege(jet) soo hufanya bugatti kuwa na muundo wa tofauti na aina zingine za magari
 
unapoanza kubisha ndo nazid kukuona hujui na sio kwamba ulikosea, haya leta link
Well nimesoma kwenye kwenye gazeti la The Sun
7926f656eea3af47a6f5afa90a916f11.jpg
 
Well nimesoma kwenye kwenye gazeti la The Sun
7926f656eea3af47a6f5afa90a916f11.jpg
that article is extremely misleading, The richest person in the world is bill gates and he is a billionaire , huyo zillionaire ametoka wapi , article ya kibashite hiyo
 
that article is extremely misleading, The richest person in the world is bill gates and he is a billionaire , huyo zillionaire ametoka wapi , article ya kibashite hiyo
Ninavyojua wapo watu hawajionyeshi na kutangaza utajiri wao.
Rothschild family na Rockefellers ni miongoni mwa hizo figures lakini hawawezi abadan kutangaza utajiri wao.
Kwa hiyo Bill gates kwenye Forbes sawa na tutaamini hivyo.
Nimekuelewa uelewa wako have a very good evening
 
Hakuna gari ndogo yenye kipimo horse power,jaribu ku google horse power moja sawasawa na cc ngapi ndio utajua,kipimo cha horse power kipo kwenye gari kubwa tu,na hiyo hp 1500 hata kwenye lory hakuna labda train.
 
imezidi kwa Porshe panorama turbo supercharged ya 2013 ina speed 400km/h muundo ndani na nje ni kama hiyo hiyo zimetofautiana nyuma tuu hawa panorama 2017 naamini watakua wametoa kitu cha hatari zaidi...

Hakuna Porsche inaitwa Panorama ndugu yangu.inaitwa Porsche panamera,kama sijakosea.
 
Hakuna gari ndogo yenye kipimo horse power,jaribu ku google horse power moja sawasawa na cc ngapi ndio utajua,kipimo cha horse power kipo kwenye gari kubwa tu,na hiyo hp 1500 hata kwenye lory hakuna labda train.
hahahah nimecheka sana nliposoma hii kitu , kwa jinsi ulivyoandika kwa confidence zote , mi naona ungegoogle kwanza wewe ingekuwa vizur zaidi
 
Hakuna gari ndogo yenye kipimo horse power,jaribu ku google horse power moja sawasawa na cc ngapi ndio utajua,kipimo cha horse power kipo kwenye gari kubwa tu,na hiyo hp 1500 hata kwenye lory hakuna labda train.
Sio kweli, hata gari ndogo zina vipimo vya horse power!
 
250 TZ hufiki? Usintanie kabisa!! anyways, unaijua barabara inayoitwa Autobahn? Zipo barabara za kufika hio 500kmhr kwa wenzetu... hatuna sie tu miji ilokosa plan...
Autobahn iko ujerumani
 
Back
Top Bottom