kizaizai
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 6,056
- 7,519
Kweli, hiyo nafikiri ni ya mwaka 2010 check wimbo wake wa Fire Flame.Mbona anayo nyekundu tayari!
Kweli, hiyo nafikiri ni ya mwaka 2010 check wimbo wake wa Fire Flame.Mbona anayo nyekundu tayari!
Gari kufika speed 400km/h ,hakuna ya sababu ya Barbara kuwa ndefu, ni suala la technolojia tùu,tunaona Gari za F1unakuta umbali wa mita 200 au 300 kitu kinakanyagwa unashangaa speed mita inasoma 360 ,Lewis anakugongea mpaka 410 na umbali mdogo tuu,hivyo Bugatti kugonga 500km/h si ajabu
,
Hapana mkuu hata za formula one,ukiwa pale kwenye ile kona ya Sainte Devote(Monte Carlo -Monaco) kona ina nyuzi 90.Fika pale Beau Rivage.mbele kidogo kuna Mirabeau nyuzi 180.halafu jiulize kwa nini ni uwanja ambao magari ya formular One yanakwenda slow sana pale, kuna jamaa aliwahi kudumbukia baharini 1965.kwa speed unazosema Eu Rouge(SPA Francorchamps) wanafika hata pale monza italia kuna ile kona ya Lesmo na Parabolica.kwanza sijui kama momtecarlo kuna DRS(Drag Reduction System).![]()
Ni Porsche panamera mkuu.imezidi kwa Porshe panorama turbo supercharged ya 2013 ina speed 400km/h muundo ndani na nje ni kama hiyo hiyo zimetofautiana nyuma tuu hawa panorama 2017 naamini watakua wametoa kitu cha hatari zaidi...
mkuu nmekutumia inbox.
+Bumps+Humps+Traffic+Jam= Masaa 9 Dar-Mwanzadar-mwanza masaa matatu