falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,213
- 9,334
we bado mshamba sanaHakuna barabara ya kurndeshea hiyo speed duniani 250 yenyewe sio rahisi sembuse 500
we bado mshamba sanaHakuna barabara ya kurndeshea hiyo speed duniani 250 yenyewe sio rahisi sembuse 500
Nakubaliwe bado mshamba sana
Uko sahihi maana imebidi ni"gugo".Barabara zenye vibao vya speed ya juu kabisa duniani ni 140KPH na viko Bulgaria na Poland.Kama ni hivyo kwa nini viwanda vya magari vinatengeneza magari kama hayo maV8?(From safety/accident point of view).Ili linahitaji mjadala wa kujitegemeaThat's for racing fancy and prestige nothing more
Dah! Mengi sana. Inasoma ngapi kwako? Ya kwangu ina 200+Mimi na Rav4 yangu tu.mule mule,nalambaga masaa 9 Mwanza to Arusha
Kwakwel,Kwa hizi barabara zetu. Kabla ujafika utakuwa umeshabadilishwa jina
usichekeshe tanzania hatuna high way.
Kufikisha 200kph barabara za Ulaya ni shida? Hio ni 120mph huitaji hata stretch ya km mbili kufikisha mwendo huo. Halafu autobahn hazina speed limit watu wanajiachia na ma porsche,ferrari balaa.1500CV au (1500HP) sawa na 1103KW.Kwa sport cars sana wanatumia frame ya carbon fiber.mashine yake hiyo ya 2000/ kwa sekunde.500km/h ukitaka kuiona labda uende silverstone au SPA Francorchamps ila hata hivyo sifikirii kama utaipata 500 ni ngumu sana na zile kona za Blanchimont,Eau Rouge -Raidillon.mkuu ina Direct-Shift Gearbox kwa maana hiyo ina gear 7wakati gari za Formular One ina gear 8 na wanatumia DRS. Bila kusahau MGU-K na MGU-H. Pia gari hizo na Speed camera zilizojaa barabara za ulaya hiyo kufikisha 200km/h tu ni shida baadhi ya barabara ndiyo maana mzee wa Maranello(Ferrari) na (Lamborghini),gari zao nyingi wanawauza sana uarabuni.
Kufikisha 200kph barabara za Ulaya ni shida? Hio ni 120mph huitaji hata stretch ya km mbili kufikisha mwendo huo. Halafu autobahn hazina speed limit watu wanajiachia na ma porsche,ferrari balaa.
Hata UK camera zipo ila sio kila mahali. Kuna sehemu nyingi tu unaendesha hadi 250kph kama una ushujaa, been there done that. Mimi nilikuwa nafanyakazi umbali wa 42 miles (approx 65km) na nilikuwa natumia motorway. 100-130mph ndio ulikuwa mwendo wangu wa kawaida.
Ila ile ni Bugatti veyron version ya nyuma kidogo ya hiiKwenye Top Gear leo jamaa kaiendesha kwenye runway tu kafikisha 230mph. Miles per hour. Kuna special key akiiweka sehemu na kufungua inafikisha 300mph.
Hii gari haihitaji umbali mrefu kufikisha mwendo huo.
Ni W16 with 4 turbo chargers!