Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,364
Kuna watu hawajui kitu bora unyamaze tu uwaangalie, kama kina Rockafeller and Rothschild wana utajiri wa zaidi ya $500billion then mtu anakubishia, nimekumbukaile habari ya aliyekuwa mmiliki wa Man City(aliyekuwa waziri mkuu mkuu wa Thailand) aliposamehe mali za 1.2 trilion.Ninavyojua wapo watu hawajionyeshi na kutangaza utajiri wao.
Rothschild family na Rockefellers ni miongoni mwa hizo figures lakini hawawezi abadan kutangaza utajiri wao.
Kwa hiyo Bill gates kwenye Forbes sawa na tutaamini hivyo.
Nimekuelewa uelewa wako have a very good evening