Bugatti Chiron 1500 HP, Max speed 500 km/h!

Bugatti Chiron 1500 HP, Max speed 500 km/h!

inamaana ukianzia ubungo mataa kwa sekunde mbili unakuwa ushaiona mikese au?

Hapana, yaani ina uwezo wa mwendo ktk 0-100 kwa muda wa Sekunde 2, maana yake ni kwamba ukiwaasha gari na kukanyaga Mafuta itakuchukuwa Sekunde 2 mshale wa speedometa kufika 100, sasa kulinganisha unaweza kujaribu na gari yako weka saa stop watch halafu angalia utatumia muda gani mshale kufikia 100, sijui kama nimeweza kuelezea vizuri!
 
Hakuna barabara ya kurndeshea hiyo speed duniani 250 yenyewe sio rahisi sembuse 500
Kwenye Top Gear leo jamaa kaiendesha kwenye runway tu kafikisha 230mph. Miles per hour. Kuna special key akiiweka sehemu na kufungua inafikisha 300mph.

Hii gari haihitaji umbali mrefu kufikisha mwendo huo.

Ni W16 with 4 turbo chargers!
 
Top gear ya leo imezungumziwa,jamaa kaiendesha kwenye runway, mwisho akatoka dubai to oman. Its a beast
 
Kwenye Top Gear leo jamaa kaiendesha kwenye runway tu kafikisha 230mph. Miles per hour. Kuna special key akiiweka sehemu na kufungua inafikisha 300mph.

Hii gari haihitaji umbali mrefu kufikisha mwendo huo.

Ni W16 with 4 turbo chargers!
Five gear ya clouds
 
thumbs up , i watched top gear leo aswell.,
 
mkuu kuna kitu kinaitwa autobahn kagoogle ujionee, watu wanalaza 300km/h au unadhani amg, m power , pefromance zake zimeboostiwa za mapambo
Wengi humu hawajaendesha magari. Hizi 130/150mph(220-250) nimeendesha sana, na nimekula driving ban kadhaa!

Imagine unaendesha bmw 530i on a motorway....
 
1500CV au (1500HP) sawa na 1103KW.Kwa sport cars sana wanatumia frame ya carbon fiber.mashine yake hiyo ya 2000/ kwa sekunde.500km/h ukitaka kuiona labda uende silverstone au SPA Francorchamps ila hata hivyo sifikirii kama utaipata 500 ni ngumu sana na zile kona za Blanchimont,Eau Rouge -Raidillon.mkuu ina Direct-Shift Gearbox kwa maana hiyo ina gear 7 wakati gari za Formular One ina gear 8 na wanatumia DRS. Bila kusahau MGU-K na MGU-H. Pia gari hizo na Speed camera zilizojaa barabara za ulaya hiyo kufikisha 200km/h tu ni shida baadhi ya barabara ndiyo maana mzee wa Maranello(Ferrari) na (Lamborghini),gari zao nyingi wanawauza sana uarabuni.
 
Juz nimepita high way dar-mza kwakwel ile sio barabara ni lami bt mashimo kabisa utadhani road ya vumbi imebonyebonyea hatar sasa sijui ni viwango gani Tanroad wazembe sana
usichekeshe tanzania hatuna high way.
 
Back
Top Bottom