Kumbuka hapo bado hajaingia darasani kufundishwa muziki so KWA uimbaji wake akikutana na mwalimu mzuri akamfundisha akaiva I see some potential from him,unamjua nandy WEWE? Huyu alifundishwa kuimba from the sracth na sasa ni starAnaimba kawaida.. binafsi namuona wa kawaida tuu sanaa
Unaweza ku-anticipate energy yake kutokana na anavyoimba bila kutumia nguvu huku sauti ikiwa inatoka bila tatizo lolote! Look at him jinsi alivyo-relax. Binafsi sijaangalia hili shindano lakini jana nilipitia page ya BSS na kuona clips zake zingine, na zote yupo kwenye state ile ile: relaxed but sauti inatoka bila ngwengwe!! Hiyo ni hazina kubwa sana kwa msanii manake kama nilivyosema hapo kabla, mengine yote yanafundishika!!! Sauti kama huna, huna tu! Utakula sana mayai mabichi, enzi zetu utaenda beach kila siku kupiga yowe, lakini yote hayo yatakusaidia tu studio lakini ukiwa Live, utaumbuka tu!!Kwa hapa East Africa ilikuwepo Tusker project fame na huyo dogo angekutana na vichwa kama IAN sidhani kama angechukua round kutolewa...
unaongea vizuri sana haswa katika vocal ranges lakini huyo jombaa hana POWERFUL VOICE, anaimba plain na hajaonesha uwezo wowote wa kuimba katika higher notes ambazo ndo huonesha ile power ya sauti.
Dogo ni talented kiasi lakini yupo overhyped na kama unajua maana ya POWERFUL VOICE je, huyo jombaa anaweza kukaa category moja na RUBY, BEKA IBROZAMA au PETER MSECHU ???...
Of course, jinsi watu wanavyozungumzia kirahisi kwamba Guitar linambeba, I wish wao wangejaribu kuimba bila guitar kisha waimbe kwa kucharaza guitar bila kujali wanacharaza right tune, ndipo wangeona ugumu uliopo!!kuimba huku unapiga gitaa si kitu poa..naona watu hili suala wanachukulia utani utani wanadhani rahisi tu..
Unaweza ku-anticipate energy yake kutokana na anavyoimba bila kutumia nguvu huku sauti ikiwa inatoka bila tatizo lolote! Look at him jinsi alivyo-relax. Binafsi sijaangalia hili shindano lakini jana nilipitia page ya BSS na kuona clips zake zingine, na zote yupo kwenye state ile ile: relaxed but sauti inatoka bila ngwengwe!! Hiyo ni hazina kubwa sana kwa msanii manake kama nilivyosema hapo kabla, mengine yote yanafundishika!!! Sauti kama huna, huna tu! Utakula sana mayai mabichi, enzi zetu utaenda beach kila siku kupiga yowe, lakini yote hayo yatakusaidia tu studio lakini ukiwa Live, utaumbuka tu!!
Na moja ya sifa kubwa za powerful voice sio tu kusikika with high pitch kama vile wanavyosika akina Rubby bali kuweza kusikika bila kuwa na hofu ya kuishiwa pumzi! Sioni ni namna gani yule dogo anavyoweza kukata pumzi!
basi wamkabidhi ushindi kabsaHatimaye Wamemrudisha..!!