Kiufupi tu, tunaomba huyu kijana mrudisheni apambane. Mnataka kipaji gani, kama mnataka pesa uwepo wake mnahisi utawaharibia ushindani kwakua anajua sana kwaiyo watu hatutapiga kura semeni.
In short, huyo jamaa ukiacha gita, umasikini wake na hiyo barakashia. Ana uwezo wa kuimba unasikia neno mojamoja kama lilivyo na kwa sauti na pia hatumii nguvu kufanya hivyo.Hivi unajua nilichoongea wewe?! FYI, kwa Talent Manager/Agency anayejua muziki, kwa mashindano kama hayo anaweza kumchukua mwenye powerful voice, na energy ya kutosha kama alivyosema my girl Khantwe hapo juu na kumwacha anayeimba vizuri lakini amekosa hivyo vitu!!
Muziki unafundishika, na ndio maana Harmonize ambae aliimba hovyo sana pale BSS, alipooenda WCB na kukaa miaka miwili akipikwa, leo hii anasumbua kwenye game! Nilichosema kuhusu huyo dogo ni powerful voice inayoashiria kuwa na higher vocal range! Unaweza kuimba vizuri lakini ukawa na low or medium vocal range! Mtu mwenye higher vocal range anaweza kuimba wimbo wowote ule kwa sababu ana uwezo wa kupanda na kushuka, lakini mwenye vocal range ya kawaida, anapata shida sana kupanda, na ukimsikiliza utaona tu anavyo-struggle! Ukiwa studio, hakuna tatizo manake hivi sasa digital faking zimejaa studio lakini ukiwa kwenye live ndipo unapokuja kupata shida hapo!
Uko sahihi mkuu Mimi sioni maajabu yake yeyoteAnaimba kawaida.. binafsi namuona wa kawaida tuu sanaa
Hapo nilipo-bold; watu wanashindwa kabisa kupaona, na ndo maana nikasema dogo amejaaliwa high vocal range inayomwezesha kuimba kwenye note yoyote ile comfortably; yaani bila kutumia nguvu! Mengine uliyotaja yanafundishika kirahisi kwa sababu hata kwa wenzetu, ni kawaida sana mtu kutengenezewa melody!In short, huyo jamaa ukiacha gita, umasikini wake na hiyo barakashia. Ana uwezo wa kuimba unasikia neno mojamoja kama lilivyo na kwa sauti na pia hatumii nguvu kufanya hivyo.
Japo (melody) yake sio nzuri na wala haivutii bali utamu ni pale unaposikia neno mojamoja kwa ufasaha na halazimishi kwenda na beat.
Ni hayo kwa uchache....anafaa!
Si unajua unafiki Wa wabongo...Gitaa tu linambeba ila uwezo wa kawaida tu mbona.
Wamesikia maoni yetu wameweka link ya kupiga kura arudi ama asirudi. Mimi nishampigia kura arudishwe.Kiufupi tu, tunaomba huyu kijana mrudisheni apambane. Mnataka kipaji gani, kama mnataka pesa uwepo wake mnahisi utawaharibia ushindani kwakua anajua sana kwaiyo watu hatutapiga kura semeni.
Umepoteza muda wako bure.. Hakuna kitu pale..Wamesikia maoni yetu wameweka link ya kupiga kura arudi ama asirudi. Mimi nishampigia kura arudishwe.
Hahaha aiseeWabongo washasahau yale ni mashindano, wameanza uangalia umaskini wa dogo kama kigezo!..
Basi liletwe jingine Maisha Magumu Star Search tujue moja.
Angepita ningeamini Tz hamna vipaji.Kiufupi tu, tunaomba huyu kijana mrudisheni apambane. Mnataka kipaji gani, kama mnataka pesa uwepo wake mnahisi utawaharibia ushindani kwakua anajua sana kwaiyo watu hatutapiga kura semeni.
kuimba huku unapiga gitaa si kitu poa..naona watu hili suala wanachukulia utani utani wanadhani rahisi tu..Ndo hapo sasa, yaani dogo ka-relax na sauti inatoka clear kabisa! Watu wanasema gitaa limembeba wakati hapo naona kama limemshusha, manake alilazimika kugawanya concentration kwenye guitar na uimbaji!!
Hapo nilipo-bold; watu wanashindwa kabisa kupaona, na ndo maana nikasema dogo amejaaliwa high vocal range inayomwezesha kuimba kwenye note yoyote ile comfortably; yaani bila kutumia nguvu! Mengine uliyotaja yanafundishika kirahisi kwa sababu hata kwa wenzetu, ni kawaida sana mtu kutengenezewa melody!
Watu wanashindwa kufahamu ni kwanini wasanii wetu wanashindwa kuimba live! Tatizo la msingi lipo hapo, kwa sababu, wakiwa studio mashine zinafanya kazi kuziba gaps lakini unapokuwa live, hakuna mashine! Sasa kama studio uliimba range ngumu kwako lakini ukasaidiwa na computer, ukipanda jukwani lakini ikutoe nishai!!!
Waooh bro muziki unaujua,watu weengi hawajui watu kama hawa wakina hamisi ambao hawaimbii puani km kina baraka da prince wakipata vocal coach mzuri wakawa trained wanakuwaga hatari sanaHivi unajua nilichoongea wewe?! FYI, kwa Talent Manager/Agency anayejua muziki, kwa mashindano kama hayo anaweza kumchukua mwenye powerful voice, na energy ya kutosha kama alivyosema my girl Khantwe hapo juu na kumwacha anayeimba vizuri lakini amekosa hivyo vitu!!
Muziki unafundishika, na ndio maana Harmonize ambae aliimba hovyo sana pale BSS, alipooenda WCB na kukaa miaka miwili akipikwa, leo hii anasumbua kwenye game! Nilichosema kuhusu huyo dogo ni powerful voice inayoashiria kuwa na higher vocal range! Unaweza kuimba vizuri lakini ukawa na low or medium vocal range! Mtu mwenye higher vocal range anaweza kuimba wimbo wowote ule kwa sababu ana uwezo wa kupanda na kushuka, lakini mwenye vocal range ya kawaida, anapata shida sana kupanda, na ukimsikiliza utaona tu anavyo-struggle! Ukiwa studio, hakuna tatizo manake hivi sasa digital faking zimejaa studio lakini ukiwa kwenye live ndipo unapokuja kupata shida hapo!