BSS 2019 mrudisheni Hamis msituudhi mashabiki

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
5,254
Reaction score
11,487
Kiufupi tu, tunaomba huyu kijana mrudisheni apambane. Mnataka kipaji gani, kama mnataka pesa uwepo wake mnahisi utawaharibia ushindani kwakua anajua sana kwaiyo watu hatutapiga kura semeni.

 
Kwa anayefahamu muziki, hapo hataangalia sana jinsi alivyoimba bali hiyo sauti! Ni very powerful voice, na ni wachache sana wanakuwa na sauti yenye nguvu namna hiyo!! Hiyo ni sauti ya kuzaliwa nayo, mengine YOTE yanafundishika!
Hicho ndio kitu pekee Hamis anacho vocal haimbii puani kijana yupo vizuri hawa kina madam Lita wanaangalia business siyo vipaji uyu dogo uwepo wake wanahisi atawaharibia biashara cause watu hatutatizama wengine so ushindani utapotea dawa dogo atoke tuanze bahatisha bahatisha
 
Ila kashaonekana. Naamini atapata wa kumuendeleza na atafika pazuri.
 
Amebebwa na gitaa tu ila sauti yake ni ya kawaida sana. Kama wangekuja kanisani kwetu kuna kwaya kama 5 hivi nadhani karibu wote wanaoimbia hizo kwaya wamemzidi uwezo na hawajulikani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…