Sigma
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 5,007
- 1,259
Not if you want to put weight.That's awful 🙁
Not if you want to put weight.That's awful 🙁
Huku ndo tunaenda.niko nje nnakusubiri ..
umeshachelewa dakika mbili ..lol 🙂
I mean nshapita.
Na-Uturn, usiwe na mchuchumio, hakuna dancing floor huku
Sioni chochote kama sign, alaf huo mtaa 14cleve......???kuna give way sign turn kulia halafu utaona stop sign
kabla ya roundabout
tun kulia tena nyumba ya tatu upande wa kushoto
number 14 cleverland st.. hopefully hutapotea tena lolz 🙂
haya hilo hapa kwa TZ .. wasemaje??
![]()
Aisee.hahahahahah hiyo ndo kitu ndani ya boxi yake
ndo imetoka 2011 mkuu..
kwa ndali liko hivi..
![]()
Nimeipenda sana hii product.yaani mkuu nlizani unafagilia yote lol
hii makini hivi mi nalitaka liko.
makini sana kwa ndani ..
cheki
![]()
HOLDEN-LIKE: Citroen's Sandman like Tubik concept.
nalijua tu, huo mtaa umekutoa kijasho.nimesubiri mpaka basi
tatizo ya magari ya mchina..
skusubiri tena..🙁
kudadadeki, top speed , 5th gear, super speeds, super slides, mwna, hivi vitu ni matata, niliangalia katilka kipindi cha TOP GEAR, KITU KINAITWA Lamborghini Murciélago, huko uarabuni kulee, kitu kinatongoza acha, halafu BMW Z4 pia, walivyokuwa wanajiaamini, kabla hata hujakuwa na hamu ya kununu hiyo BMW Z4, utapewa uendeshe kuijaribu, nakumbia wanaojaribu wakimaliza tuu wananunua, bongo sijui watatengeneza barabara zetu lini, ili watu wenye nazo nao waweze kuendesha hizi super car bongo,
angalia hapa å¥"跑的蛮牛 å…°åšåŸºå°¼Murciélago LP670-4å'ŒLP650-4 Roadster - 视é¢' - 优酷视é¢' - 在线观看