Bruuuum, bruuuuuum

The BMW Vision Connected Drive prototype car at the Shanghai Auto Show
 
Jamani bado mnawaza kuongeza magari? Huu msingamano wa magari dar utakwisha kweli?
Magari yanachangia sana uharibifu wa Ozone Layer, madhara yake ni mabadiliko ya tabia nchi. Nataka nianzishe kampeni ya kuhamasisha usafiri wa baiskeli. Niungeni mkono wana JF.
 
Chinese auto company Geely's concept car displayed at the Shanghai Auto Show.
 
Hivi vigari hapa bongo size ya matuta tuliyonayo barabarani mtajikuta mnajuta kuyanunu... Kitu ''kruza mkonge'' bhana..kinasurvive hapa bongo. Leteni hivyo vijaguar na ferari kama hamjajutia. :)
 
<a href="http://www.stuff.co.nz/life-style/photos/4910739/2011-Shanghai-Auto-Show#" target="_blank"><img src="http://static2.stuff.co.nz/1303261754/752/4910752.jpg" border="0" alt="" /></a><br />
<br />
The Lamborghini Aventador LP700-4 at the Shanghai Auto Show.
hii gari ukiileta bongo, sehemu ya tuta barabarani ujutia kuwa nalo kwa yatakayotokea.
 
Jamani bado mnawaza kuongeza magari? Huu msingamano wa magari dar utakwisha kweli?
Magari yanachangia sana uharibifu wa Ozone Layer, madhara yake ni mabadiliko ya tabia nchi. Nataka nianzishe kampeni ya kuhamasisha usafiri wa baiskeli. Niungeni mkono wana JF.

I'm just admiring human artistic ...
ndo maana napenda kuyaangalia magari ....
Dar wala hakuna magari mengi ukilinganisha na developed countries....
ok nakubaliana nawe kuwa magari yanaongeza "green house affect "
lakini vipi kuhusu viwanda vikubwa huko China..

Dahhhhh
na kuna research mpya imetoka wanasema ngombe wakijamba/ kunya
wanaongeza Ozone layer.. sasa tuwafanyaje...

I'm just wondering ... what's next??
 
afrodenzi, kuna hyundai moja saloon, sikumbuki model yake. it was mmmphhhhh! kuna nyingine kama shape ya harrier,bt the hiyo ya saloon ni kiboko. i dont like small cars,ila hiyo hyundai nilipoiona niliiota.
 
Hivi vigari hapa bongo size ya matuta tuliyonayo barabarani mtajikuta mnajuta kuyanunu... Kitu ''kruza mkonge'' bhana..kinasurvive hapa bongo. Leteni hivyo vijaguar na ferari kama hamjajutia. :)

haya hilo hapa kwa TZ .. wasemaje??
11_j_gch_photo_ext_09.jpg
 
Back
Top Bottom