Bruuuum, bruuuuuum

Bruuuum, bruuuuuum

Hizi Gari Sports siziwanii tena anayezipenda nina Celica GT-202 Nimuuzie Ipo Garage ya Wachina Mwenge anipm nimuuzie ikiwa huko huko

gari zuri sana hilo ..
Hopefully kuna ambae atalinunua (ni ya mwaka gani)??
 
🙂 Nice dreams people
Buguruni kwa mnyamani na mambo hayo wapi na wapi? ni ESCUDO tu kwa 90% watakaofanikiwa , 20 years old cars ndio mambo ya third world citizens!

Mengine muwe politicians or wezi!
 
🙂 Nice dreams people
Buguruni kwa mnyamani na mambo hayo wapi na wapi? ni ESCUDO tu kwa 90% watakaofanikiwa , 20 years old cars ndio mambo ya third world citizens!
avatar21284_1.gif

!
Iyo afya umeipata hapohapo kwa mnyamani?
 
🙂 Nice dreams people
Buguruni kwa mnyamani na mambo hayo wapi na wapi? ni ESCUDO tu kwa 90% watakaofanikiwa , 20 years old cars ndio mambo ya third world citizens!

Mengine muwe politicians or wezi!

duhhhh ustukatishe tamaa basi dahhh 🙁
sasa hillo tumbo ndo nyama choma bia au burger King??
 
Iyo afya umeipata hapohapo kwa mnyamani?

Sigma ndugu yangu
soma hii signature: Unene si kama kichogo, huja wakati wowote!

Unene huu ni kwa ajili ya chips mayai na mazaga zaga ya pale machinjioni Kiembe Mbuzi, ninachoma mishikaki baa moja karibu na pale!
 
hapana iyo ni ya shombe flan mshkaji wake anaitwa Albwardy. sema huwa anaitumia akijisikia kutembea.

dahhhhh
Ngoja niionge na Ivuga labda naweza azima lake lolz 🙂
 
Sigma ndugu yangu
soma hii signature: Unene si kama kichogo, huja wakati wowote!

Unene huu ni kwa ajili ya chips mayai na mazaga zaga ya pale machinjioni Kiembe Mbuzi, ninachoma mishikaki baa moja karibu na pale!
Kama hii
DSC_0017-2-resize-frame.jpg
nimekubali bana
 
duhhhh ustukatishe tamaa basi dahhh 🙁
sasa hillo tumbo ndo nyama choma bia au burger King??

AD
Umenifurahisha sana wewe na King'asti mna dream nzuri sana, i wish wote tungekuwa hivi, tukawa na vijana wachapakazi, viongozi wachapakazi kujenga nchi yenye uchumi na miundo mbinu itakayoweza kuhimili dream hizi za 21st century na sisi kuwa hata second world kwa maendeleo.

Tatizo tulilonalo ni kubwa sana, watu wanataka short cuts kwa kila kitu, baya tunawafanya hata watoto a vizazi vyetu kuona kuwa hayo ndio maisha, hawataki kujishughulisha kufikiri na kutatua matatizo yetu ki sayansi zaidi, wao ni ujanja ujanja.

Wizi wizi kwa kwenda mbele... yaani jamani hata vi bara bara, eti bara bara km moja ina cost 1 billion, ukiangalia ni kwa ajili ya 10% nzito ndio cost inafika huko.

Nisameheni kama niko too negative, lakini naangalia hali halisi sioni kabisa mabadiriko nami ndio nagonga 50 years, sijui kama nitaona hizi dream zenu hapa TZ!!
All in all lets work hard people and influence vizazi vyetu, lakini si kwa mfumo uliopo,lazima tuwaondoe hawa Magamba if we need changes!!
 
Back
Top Bottom