samahani wapendwa skupata jina zuri la kuiipa hii thread.. ni kuhusu magari , mapya , ya zamani na yapi uyapendayo?? tunaenze na hili.... BLAST OFF: Muammar Gaddafi's rocket car. Gaddafi's self-designed 'Rocket' car....