Brother wangu kama masihara ametimiza miaka 40 akiwa bado kula kulala

Huyu ni mtoto baba Mkubwaa leo hii ametimiza miaka 40 kwa mzee wake akiwa bado kula kulala yaani still mshikaji mpka sasa bado anamtegemea mzee wake na hajawahi kujitegemea mpka sasa namuonea huruma licha kielimu amenizidi coz ana masters

Kwa umri huu ulivyokwenda natamani nimshauli Kitu kuhusu maisha je nimshauli nini
Mwambie atafute mke labda atajiongeza kiakili
 
Tunakoenda hilo litakua la kawaida, itafika hatua babu, baba, mjukuu wote wamepanga, Thamani ya nyumba inazidi kupanda....

Napata wakati mgumu kumhukumu, ila Pengine jamaa Kuna sehemu alizingua, 40yrs??? Hii ni too much.
 
Huyu ni mtoto baba Mkubwaa leo hii ametimiza miaka 40 kwa mzee wake akiwa bado kula kulala yaani still mshikaji mpka sasa bado anamtegemea mzee wake na hajawahi kujitegemea mpka sasa namuonea huruma licha kielimu amenizidi coz ana masters

Kwa umri huu ulivyokwenda natamani nimshauli Kitu kuhusu maisha je nimshauli nini
Wewe umemsaidiaje?
 
Fuata maisha yako,wala usijione wewe ni shujaa na yeye ni fungu la kukosa,
Anayetoa riziki ni Mungu na humpa amtakae na kwa muda autakao yeye,

Babu wa Loliondo alitoboa maisha uzeeni,
Mzee Mpili ametoboa maisha uzeeni,

Maisha ni sawa na gwaride,mkiambiwa "Nyuma geuka" wa mbele anakua nyuma na wa nyuma anakua mbele.
 
Huyu ni mtoto baba Mkubwaa leo hii ametimiza miaka 40 kwa mzee wake akiwa bado kula kulala yaani still mshikaji mpka sasa bado anamtegemea mzee wake na hajawahi kujitegemea mpka sasa namuonea huruma licha kielimu amenizidi coz ana masters

Kwa umri huu ulivyokwenda natamani nimshauli Kitu kuhusu maisha je nimshauli nini
Mwambie mzee anamzunguka kwenye share ya familia.
Wayajenge maana wote ni wazee wa nyumba
 
Huyu ni mtoto baba Mkubwaa leo hii ametimiza miaka 40 kwa mzee wake akiwa bado kula kulala yaani still mshikaji mpka sasa bado anamtegemea mzee wake na hajawahi kujitegemea mpka sasa namuonea huruma licha kielimu amenizidi coz ana masters

Kwa umri huu ulivyokwenda natamani nimshauli Kitu kuhusu maisha je nimshauli nini
Huna cha kumshauri mtu kama huyo hapo anachosubiri ni mzee adondoke jamaa awe mrithi akajenge heshima bar
 
Huyu ni mtoto baba Mkubwaa leo hii ametimiza miaka 40 kwa mzee wake akiwa bado kula kulala yaani still mshikaji mpka sasa bado anamtegemea mzee wake na hajawahi kujitegemea mpka sasa namuonea huruma licha kielimu amenizidi coz ana masters

Kwa umri huu ulivyokwenda natamani nimshauli Kitu kuhusu maisha je nimshauli nini
Chunguza vema, wasomi wana mambo. Usikute kwenye utafiti wake wa hiyo shahada ya umahiri, moja ya kitu alichojifunza ni hicho--kutokuanza kujitegemea mapema. Hvyo, huenda anatekeleza aliyojifunza kwa vitendo. Safi sana
 
FB_IMG_1631719407313.jpg
 
Huyu ni mtoto baba Mkubwaa leo hii ametimiza miaka 40 kwa mzee wake akiwa bado kula kulala yaani still mshikaji mpka sasa bado anamtegemea mzee wake na hajawahi kujitegemea mpka sasa namuonea huruma licha kielimu amenizidi coz ana masters

Kwa umri huu ulivyokwenda natamani nimshauli Kitu kuhusu maisha je nimshauli nini

Kama Baba yake anaona sawa wewe shida yako nini?
 
Back
Top Bottom